Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

Unataka jina la kiislamu au kiharabu? For what I know hakuna majina ya kiislamu bali kuna majina ya kiharabu tu, kama ni mtoto wa kiislamu unaweza muita hata Mayunga na akawa sheikh mzuri tu. NB: Soma katikati ya mstari.
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Mujibrahmaan
Omari Mullah
 
Wacha Roho mbaya hiyo hiyo ni furaha yake anajaribu kushare na sisi bro umemuadhinia kwanza na la pili ni sunna kumchinjia mbuzi wawili ikiwa una uwezo kwa mtoto wa kiume na wa kike mbuzi mmoja tu .
Naam sunnah kumuadhinia sikio la kulia na kuqimu sikio la kushoto, pia sunnah kumnyoa nywele siku ya 7 kuzipima nywele hizo kisha kutolea swadaqa ya dhahabu au fedha, pia siku ya 7 nu sunnah kumpa jina na kufanyia aqiqa kama alivyosema hapo mbuzi wawili kwa mtoto wa kiume na mmoja kwa wa kike. Pia hata ukipata mmoja kulingana na uwezo sio mbaya bado sunnah ipo ila bora zaidi na kamilifu ni wawili.
 
Azhar sio jina la kike?
Hapana ndugu ni jina la kiume.
Nilimpatia mdg wangu ni jina adimu na lina maana nzito pia litamfanya jina liakisi na kumjenga sifa za uzuri na kung'aa kwa kila atakachofanya.
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
MAGUFULI
 
Back
Top Bottom