Binti Kirembwe
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 307
- 330
Ahad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha Roho mbaya hiyo hiyo ni furaha yake anajaribu kushare na sisi bro umemuadhinia kwanza na la pili ni sunna kumchinjia mbuzi wawili ikiwa una uwezo kwa mtoto wa kiume na wa kike mbuzi mmoja tu .Nahisi huyo mtoto si wako,kama umeweza kutia mimba ndio ushindwe jambo dogo la jina la mtoto?
Sent using Jamii Forums mobile app
MujibrahmaanWanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Jina la kituruki hilo nahisi ni Muhamad hata Ahmed wataruki wanaita AhmetMehmet nimelipenda
Taliban ni wanafunz wawil labda km TwalibTaliban
Saadetin inanoga ukimalizia na KapukuSaadettin - kwa kituruki
Saad El din - kwa kiarabu
Naam sunnah kumuadhinia sikio la kulia na kuqimu sikio la kushoto, pia sunnah kumnyoa nywele siku ya 7 kuzipima nywele hizo kisha kutolea swadaqa ya dhahabu au fedha, pia siku ya 7 nu sunnah kumpa jina na kufanyia aqiqa kama alivyosema hapo mbuzi wawili kwa mtoto wa kiume na mmoja kwa wa kike. Pia hata ukipata mmoja kulingana na uwezo sio mbaya bado sunnah ipo ila bora zaidi na kamilifu ni wawili.Wacha Roho mbaya hiyo hiyo ni furaha yake anajaribu kushare na sisi bro umemuadhinia kwanza na la pili ni sunna kumchinjia mbuzi wawili ikiwa una uwezo kwa mtoto wa kiume na wa kike mbuzi mmoja tu .
Hapana ndugu ni jina la kiume.Azhar sio jina la kike?
Soma Mwanzo 36:11Ushahidi tafadhali.
MAGUFULIWanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Uyahudi umeanza lini mpaka useme hayo majina ni ya Kiyahudi ?Majina kama Yusufu, Musa, Omari, Hawa, Hatuna, Adam n.k ni majina yenye asili ya Kiyahudi.