The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Yasser Arafat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaah mjukuu wangu anaitwa NabeelQathirNabeel
Osama.Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Kuna pdf ya majina ya kiislamu google utaionaWanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Dini ya Kiyuda ndiyo dini kongwe kuliko zote kuandikwa kwenye vitabu.Uyahudi umeanza lini mpaka useme hayo majina ni ya Kiyahudi ?
Naendelea kujifunza mkuu Kwahiyo shukran kwa somo hiliNyie malimbukeni mnaoshadadia majina, jina ni utambulisho tu, halina chochote cha maana.
Utopia tu imewajaa vichwani.
Karne ya 21 bado kuna wanao amini kuwa kuna majina mazuri na mabaya upumbavu umewajaa tele mnashindwa kubatiza majina ya babu zenu mnakazania babu wa wenzenu.
Lini wazungu na warabu na wahindi wataiga majina yenu.
Kuna mengine yamesoma mpaka PhD bado yana amini kuwa majina yana ngekewa upumbavu tu.
Samahani kama nimekuudhi mpenda majina ya warabu ila uongo kwangu mwiko.