Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Osama.
 
Nyie malimbukeni mnaoshadadia majina, jina ni utambulisho tu, halina chochote cha maana.
Utopia tu imewajaa vichwani.
Karne ya 21 bado kuna wanao amini kuwa kuna majina mazuri na mabaya upumbavu umewajaa tele mnashindwa kubatiza majina ya babu zenu mnakazania babu wa wenzenu.
Lini wazungu na warabu na wahindi wataiga majina yenu.
Kuna mengine yamesoma mpaka PhD bado yana amini kuwa majina yana ngekewa upumbavu tu.
Samahani kama nimekuudhi mpenda majina ya warabu ila uongo kwangu mwiko.
 
Vipi Kunduz litafaa linapatikana maeneo ya Afghanistan milimani huko.
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Kuna pdf ya majina ya kiislamu google utaiona
kwenye uislamu ni vizuri ukamwita mtoto wako jina zuri na lenye maana nzuri hilo husaidia mengi sana katika maisha ya mtoto sio mtoto unamwita masumbuko halafu jina linamvaa
Pia mtume anasema majina yenye kupendeza zaidi kwa Allah ni Abdul-Rahman,Abdul-Razak na mengineyo ambayo yatamfanya mtoto wako kua ajione kapewa jina zuri ambalo kasema mtume m'bora wa viumbe
 
Uyahudi umeanza lini mpaka useme hayo majina ni ya Kiyahudi ?
Dini ya Kiyuda ndiyo dini kongwe kuliko zote kuandikwa kwenye vitabu.
Judaism ilikuwepo kabla ya Ukristo na Uislamu.

Torati na Zaburi vyote ni vitabu vya Kiyuda, Ukristo na Uislamu wameiba vitabu hivyo.
 
Nyie malimbukeni mnaoshadadia majina, jina ni utambulisho tu, halina chochote cha maana.
Utopia tu imewajaa vichwani.
Karne ya 21 bado kuna wanao amini kuwa kuna majina mazuri na mabaya upumbavu umewajaa tele mnashindwa kubatiza majina ya babu zenu mnakazania babu wa wenzenu.
Lini wazungu na warabu na wahindi wataiga majina yenu.
Kuna mengine yamesoma mpaka PhD bado yana amini kuwa majina yana ngekewa upumbavu tu.
Samahani kama nimekuudhi mpenda majina ya warabu ila uongo kwangu mwiko.
Naendelea kujifunza mkuu Kwahiyo shukran kwa somo hili
 
Back
Top Bottom