Akili za wanawake ni finyu sanaa kuna haja ya kusimamiwa na ndungu wakiume kufanya maamuzi sahihi, na kuakikishia huyu mme wake atakuja kupigia mzigo humo humo kwenye nyumba ya urithi, na ata mzalisha tena bila gharama kubwa tena.Mambo wakuu?
Nina dada yangu mkubwa ana umri kama 38yrs hivi,sasa huyu dada alikua anaishi na mwanaume wake ila hawakua wamefunga ndoa,wameishi kama miaka 8 kama sikosei.wamebahatika kupata watoto watatu mpaka sasa, mumewe ni muajiriwa kwenye shirika flani kubwa tu hapa nchini,dada yangu yeye hana kazi yoyote ni mtu wa kubangaiza tu na kuuza nguo online kwa kifupi ni mama wa nyumbani tu.
Week mbili zilizopita waligombana na huyo mumewe, dada kwa maelezo yake anasema huyo mumewe alimfukuza nyumbani kwake usiku ule pamoja na watoto wake,ila kwa uchunguzi nilioufanya mumewe hakumfukuza ila ni yeye tu aliamua kukimbilia kwa ndugu yetu mwingine na watoto wake usiku ule.
Kilichonifanya nije kuomba ushauri humu ni hiki,kuna ndugu naona kama wamemshauri dada vibaya sana,kuna nyumba yetu ya urithi tuliachiwa na marehemu wazazi wetu,ndugu wamemshauri dada aondoke mazima kwa mumewe arudi pale nyumbani kwenye nyumba ya urithi akae,kweli dada nae akachukua huo ushauri wa ndugu kaenda kwa mumewe kabeba vitu karudi nyumbani na mzigo wa watoto watatu,yule mumewe kule mpaka leo hajampigia simu yeyote nyumbani kumueleza nini tatizo yuko kimya tu,dada yeye anasema amechoka manyanyaso,sasa nimeshindwa kumuelewa dada kama nilivyosema hana kazi yoyote ni anauza tu vinguo online,ana watoto watatu wawili kati yao wanasoma shule za English medium.huko napo nasikia bwana alimuambia kama ameamua kuondoka nyumbani na watoto wake basi asikae amtafute kwa lolote lile na hao watoto amempa yeye kama zawadi.
Dada hakua na maisha yoyote magumu kwa mume wake kwani shemeji alikua anajitahidi sana kujali familia yake.
Wasiwasi wangu ni kwamba,huenda dada akaanza kuishi maisha ya shida kwa kujitakia mwenyewe na akawa msalaba kwetu sisi,kwanza kitendo cha ndugu hawa kumshauri arudi nyumbani pasipokuangalia mustakabali wake na watoto wake naona ni janga,hapa ni week ya pili tu lkn ameshaanza usumbufu wa vizinga.nawaza ada za hao watoto wa English medium atatoa wapi?
Wakuu huenda mwandiko wangu ni mmbaya but tuvumiliane.
Naomba mnishauri nifanyeje huyu mtu arudi kwa mumewe huko kwani kama nilivyoeleza soon anaenda kuwa msalaba kwetu huyu au kama kuna ushauri mwingine naukaribisha.
Hata km, bas afuate taratibu za ndoa, ili huyo mumewe aweze kuwajibika nae, sasa kuondoka holela huoni anakua mzigo kwa ndugu? Watoto wateseke akati baba yao yupo na uwezo wa kuwatunza anao? Waachane wao wazazi, watoto wapate stahiki zao km kawaida.Jaribuni kumdadisi kwa kına usikute kuna masaibu mazito ambayo hua anayapitia kwa mume wake huyo.
Yeye sio mjinga wa kiwango cha kuamua kutoka kwenye mji wake kWa namna hiyo kama kweli alikua anaishi vizuri kwa mume wake.
Naomba nijazie hapa !!!!Dada hakua na maisha yoyote magumu kwa mume wake kwani shemeji alikua anajitahidi sana kujali familia yake.
Wasiwasi wangu ni kwamba,huenda dada akaanza kuishi maisha ya shida kwa kujitakia mwenyewe na akawa msalaba kwetu sisi,kwanza kitendo cha ndugu hawa kumshauri arudi nyumbani pasipokuangalia mustakabali wake na watoto wake naona ni janga,hapa ni week ya pili tu lkn ameshaanza usumbufu wa vizinga.nawaza ada za hao watoto wa English medium atatoa wapi?
Kuna kingine zaidi ya kuzalishwa?Ukishazalishwa, Kuna 0.1% ya kuolewa
Watoto watatu unaweza kuwalea mwenyewe boss,na hapo huna ajira yoyote?Alichokipitia huyo dada anakijua yeye mwenyewe, ndoa zina Siri na mengi magumu Sanaa...
Ya Ngoswe muachie Ngwoswe
Amewekwa chini akaulizwa changamoto zinazomkabili kwa mumewe binafsi nimeona ni za kawaida tu kwa wanandoa.Kukosa ajira/kipato Kwa Dada yenu kisiwe kigezo cha yeye kunyanyaswa Kwa namna yeyote na huyo mumewe/Mzazi mwenzie
Kuna taratibu za kufuata ili mumewe/Mzazi mwenzie aendelee kuhudumia familia yake/watoto
Mwambie azifuate hizo
Mnaweza kumlazimisha aendelee kuishi na huyo mumewe/Mzazi mwenzie mkaja kukuta ndugu yenu ameuawa
Mpuuzeni wala msihusike kwa jambo linalomhusu yeye wala kumuuliza. Kuweni wapenzi watizamaji tu.Mambo wakuu?
Nina dada yangu mkubwa ana umri kama 38yrs hivi,sasa huyu dada alikua anaishi na mwanaume wake ila hawakua wamefunga ndoa,wameishi kama miaka 8 kama sikosei.wamebahatika kupata watoto watatu mpaka sasa, mumewe ni muajiriwa kwenye shirika flani kubwa tu hapa nchini,dada yangu yeye hana kazi yoyote ni mtu wa kubangaiza tu na kuuza nguo online kwa kifupi ni mama wa nyumbani tu.
Week mbili zilizopita waligombana na huyo mumewe, dada kwa maelezo yake anasema huyo mumewe alimfukuza nyumbani kwake usiku ule pamoja na watoto wake,ila kwa uchunguzi nilioufanya mumewe hakumfukuza ila ni yeye tu aliamua kukimbilia kwa ndugu yetu mwingine na watoto wake usiku ule.
Kilichonifanya nije kuomba ushauri humu ni hiki,kuna ndugu naona kama wamemshauri dada vibaya sana,kuna nyumba yetu ya urithi tuliachiwa na marehemu wazazi wetu,ndugu wamemshauri dada aondoke mazima kwa mumewe arudi pale nyumbani kwenye nyumba ya urithi akae,kweli dada nae akachukua huo ushauri wa ndugu kaenda kwa mumewe kabeba vitu karudi nyumbani na mzigo wa watoto watatu,yule mumewe kule mpaka leo hajampigia simu yeyote nyumbani kumueleza nini tatizo yuko kimya tu,dada yeye anasema amechoka manyanyaso,sasa nimeshindwa kumuelewa dada kama nilivyosema hana kazi yoyote ni anauza tu vinguo online,ana watoto watatu wawili kati yao wanasoma shule za English medium.huko napo nasikia bwana alimuambia kama ameamua kuondoka nyumbani na watoto wake basi asikae amtafute kwa lolote lile na hao watoto amempa yeye kama zawadi.
Dada hakua na maisha yoyote magumu kwa mume wake kwani shemeji alikua anajitahidi sana kujali familia yake.
Wasiwasi wangu ni kwamba,huenda dada akaanza kuishi maisha ya shida kwa kujitakia mwenyewe na akawa msalaba kwetu sisi,kwanza kitendo cha ndugu hawa kumshauri arudi nyumbani pasipokuangalia mustakabali wake na watoto wake naona ni janga,hapa ni week ya pili tu lkn ameshaanza usumbufu wa vizinga.nawaza ada za hao watoto wa English medium atatoa wapi?
Wakuu huenda mwandiko wangu ni mmbaya but tuvumiliane.
Naomba mnishauri nifanyeje huyu mtu arudi kwa mumewe huko kwani kama nilivyoeleza soon anaenda kuwa msalaba kwetu huyu au kama kuna ushauri mwingine naukaribisha.
Shem yeye anasema hawezi kuhudumia watoto ambao hawakai nyumbani kwake,kama Mama yao amewachukua that means wana baba yao mwingine.Mkuu hebu jaribu kujiuliza kama mtu mwenye akili timamu kama yeye na mme wake walikuwa wanaishi vizuri kwanini dada yako ameamua kurudi nyumbani? Kuna uwezekano mkubwa huyo shemeji yako ana matatizo ambayo nyie bado hamjayajua.
Halafu inakuwaje huyo shemeji yako agome kuwalipia watoto wake ada kisa amegombana na mke wake? Hili pekee linaonyesha huyo jamaa ana matatizo.