Naomba mnishauri kuhusiana na huyu dada yangu mkubwa

Kwani kapenda kuwa mama au huyo mume hataki afanye kazi...
Hiyo mimba aliamua yeye mwenyewe kuipata. Kuna njia nyingi za mpango wa uzazi. Mume hataki afanye kazi kama anataka kufanya kazi ajipange. Wewe haulipi ada ya watoto halafu unaondoka nyumbani are you serious ? Kama hauna kitu kaa kimya kaa chini jipange halafu jitafute. Ukishajipata ndiyo uondoke, masuala ya kuleta kiburi ukiwa hauna hela ni ujinga. Njia ya ku-solve tatizo sio kwenda kwenu bali kwenda kwa wakwe.
 
Kwa wanaume mwanamke unaolewa ukawe mtumwa wake mabaya yote akufanyie ukae kimya kisa analipa bill ukilalamika wewe sio wife material, wife material ni yule anayevumilia manyanyaso yote ya mwanaume.
Kufanya kazi za nyumbani sio utumwa. Ni ajabu sana kwa mwanamke kuona vibaya kuwa mtumwa kwa mumewe. Ni sawa na mtoto kujiona mtumwa wa wazazi wake sababu wanampa kazi za kuosha vyombo, kusafisha nyumba kwa deki na kufyeka, kuosha gari, kupika nk, anaona kuwa anawafanyia kazi wazazi wake ilhali wao wamekaa tu hakuna wanachomfanyia.
 
Sio kazi za nyumbani hapa kazungumzia, hujaelewa
 
Kwa wanaume mwanamke unaolewa ukawe mtumwa wake mabaya yote akufanyie ukae kimya kisa analipa bill ukilalamika wewe sio wife material, wife material ni yule anayevumilia manyanyaso yote ya mwanaume.
Inasikitisha sana.
 
sikujui wewe wala huyo dada yako lakini kwa maelezo yako niamini ninavyokwambia dada yako ameteseka muda mrefu kwenye hiyo ndoa,na huyo mumewe kakataa makusudi kuhudumia watoto anajua dada yako Hana uwezo wa kuwahudumia hivyo atarudi Tu!! Na akirudi Tu kwa huyo mumewe hakuna rangi ataacha kuona!!!
 
Kwa wanaume mwanamke unaolewa ukawe mtumwa wake mabaya yote akufanyie ukae kimya kisa analipa bill ukilalamika wewe sio wife material, wife material ni yule anayevumilia manyanyaso yote ya mwanaume.
Hao washachokana ila wanaweza kurudiana ,mtu aishi miaka yote hiyo ,bora huo ugomvi wasiingilie kabisa...
 
Sasa mimi najiuliza. Mwanamke anaolewa ili iweje? Tunapaswa kujitafakari
Kama hauna mpango wa kuwa na watoto usiolewe. Lakini kama unatamani kuwa na watoto lazima uolewe. Yanayofanyika huku mtaani kwa watoto wa single mother ni hatari sana. Kuna asilimia kubwa ya watoto wa single mother ambayo ni wadangaji. Katika uhuni, uhuni anaofanya binti aliyelelewa na single mother na kwenye familia ni vitu viwili tofauti aisee.

Kuolewa siyo mtaji au kigezo cha kuishi maisha mazuri. Watu wengi wanaolewa bila ya kujua wanataka nini au wanataka kuishi maisha gani. Ukiataka kuishi maisha mazuri kwa sababu una maku bora ujiuze na siyo kuolewa. Mwanamke inabidi ujitafute na ujipate kwa kujua unataka nini na maisha yako ndiyo uamue kuolewa na siyo kukimbilia ndoa kama njia ya mafanikio. Hakuna tajiri anapenda shida au kuishi kuelekezwa jinsi ya kuishi maisha yake. Ukishalitambua hilo utawekeza nguvu kwenye kujitafuta kwanza.
 
Hamna ndoa hapo , mwanamke ndiye mjinga.
 
Umeshawahi kujiuliza madhara wanayopata watoto wakishuhudia ugomvi wa wazazi wao?
 
Ugomvi sio tatizo ila kuishi na watoto upande mmoja wa mzazi ni hatari zaidi
Hatari ipo pande zote.
Wanaume wakatili hutoka kwenye ndoa za namna hiyo. Hata hawa kataa ndoa ni matokeo ya ukatili unaoendelea kwenye ndoa...
Na kwa upande wa watoto wa kike madhara yapo makubwa tu
 
Hatari ipo pande zote.
Wanaume wakatili hutoka kwenye ndoa za namna hiyo. Hata hawa kataa ndoa ni matokeo ya ukatili unaoendelea kwenye ndoa...
Na kwa upande wa watoto wa kike madhara yapo makubwa tu
Sasa tujadili ili kupata suluhu ya matatizo yote.. Kiufupi mimi naona binadamu ni wabinafsi ..Siwezi kukueleza maisha yangu ila mimi ni muhanga tena ,nimeshuhudia wazazi wakiwa wabinafsi ,nimeonja maisha ya kipumbavu zaidi ya miaka 10... Kiufupi wazazi na maisha kwa ujamla wote ni uthenge tena utapeli kabisa.
 
Watoto watatu na hana kazi yoyote!!fanya mpango arudi kwake huyo,kama ulivyosema anaenda kuwa msalaba kwenu muda si mrefu.
Hivi kuna binadamu mwenye akili ataacha maisha ya raha kukimbilia matatizi?
Mnaangalia pesa au amani ya moyo na uzima?
 
Hamna ndoa hapo , mwanamke ndiye mjinga.
Kuna 20%za mwanamke kuwa mjinga hapo na 80%za mwanaume kuwa mnyanyasaji kwa mkewe!!!
Sio kitu rahisi kwa mwanamke wa Miaka 38 mama wa nyumbani hana Mia mbovu aondoke na watoto 3 kwenye ndoa yenye Amani! Akaishi kwenye nyumba ya urithi akiombaomba!!!
 
Hivi kuna binadamu mwenye akili ataacha maisha ya raha kukimbilia matatizi?
Mnaangalia pesa au amani ya moyo na uzima?
Amani ya moyo ipi ? Mtu uzae mpaka mtoto w a tatu useme ulikuwa unanyanyaswa..Wazazi wa pande mbili wote ni wathenge kwa sababu kila mtu na tamaa zake ,hapo wamechokana wanaona watoto ni mitaji yao ya baadaye basi wanaachana ..Hakuna cha maana wala haingii aklini muishi miaka zaidi ya 4 halafu muachane ..Wote wana matatizo hao ,huo ndio ubinafsi wa binadamu.
 
Kuna 20%za mwanamke kuwa mjinga hapo na 80%za mwanaume kuwa mnyanyasaji kwa mkewe!!!
Sio kitu rahisi kwa mwanamke wa Miaka 38 mama wa nyumbani hana Mia mbovu aondoke na watoto 3 kwenye ndoa yenye Amani! Akaishi kwenye nyumba ya urithi akiombaomba!!!
Wamechokana hao ,ogopa sana binadamu hapo wa muhimu ni wanae ...Baada ya kupata watoto hamna upendo tena ,hii ni kweli kwa 100% kila mtu anajua watoto watakuja kumsaidia baadaye huko mbeleni ila ndoa washachokana.
 
ukitaka kupata suluhisho la kudumu, mtoe dada yako OUT ya kishkaji muwe wawili tu, ale&anywe akipendacho. ongea nae kirafiki zaidi, mpe muda zaidi wa kuongea na ww uwe msikilizaji makini(ikiwezekana mrekodi lakini bila yeye kujua) akuelezee kwa kina KINACHOMSIBU ktk ndoa yake, ila muahidi hautasimulia popote maongezi yenu. atafunguka mengi tu, na hapo ndio utapata MUAFAKA wapi pa kuanzia ili kupata suluhisho kwa sista yetu. huenda anapitia changamoto kubwa kuliko ww unavyofikiri, vp akikwambia jamaa yake anamla/analiwa nyuma daily na yeye hapendi?, mpaka kachoka utajiskiaje? fanya hivyo, ukizembea atazalishwa tena mtoto wa 5 hapo hapo nyumbani utafanyaje? zaidi ya kuwa msalaba wenu wajomba na ndugu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…