Naomba msaada kuhusu jini mahaba

Duuh!Hii kali especially kwa wale tusioamini uchawi. Sasa hizo mbegu za kiume mwanamke anaweza akazalishwa na jini na akapata mtoto ambaye baba yake ni jini?
 
Duh
Haukujua Niko serious kiasi gani mkuu mpaka naleta huu Uzi
Ni mateso unajua aseh

Sijaona hata wa kusema nini nifanye kuliepuka
Pambana Mkuu,, hayo mwishoni yatakubandua ww,, take it from Me, na ikifikia ivyo unakuwa shoga sasa Au punga,, ikifikia hatua iyo Kaka zako tupo
 
Duh
Haukujua Niko serious kiasi gani mkuu mpaka naleta huu Uzi
Ni mateso unajua aseh

Sijaona hata wa kusema nini nifanye kuliepuka
Kuna mtu amekuambia mfuate pm,, akakuuliza pia ww dini gani,, huyo ndio atakusaidia kwa upeo wangu
 
Mwanaume linamuingilia nyuma au lenyewe ndilo linafanywa na mwanaume binadam.. Nijuze plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeteseka nalo mika 30+ nakuelewa...tangu liondoke ni kama miezi sita hiv mpaka wakat mwingine siamin kama kweli limeondoka...unaweza nitafuta nikakuelekeza nilipoponea..
Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume linamuingilia nyuma au lenyewe ndilo linafanywa na mwanaume binadam.. Nijuze plz

Sent using Jamii Forums mobile app
Yapo majini mahaba y'a kiume na yapenda Tigo,,,yanawaingilia wanaume kinyume na maumbile,, so mtu akizoea baadae sasa anawatafuta mabasha wa kibinadamu wamle ndogo yake,, Mkuu vip unalo nini ?

Maelezo yake ni marefu, hapa hapawezi kutosha kuandika
 
Ilitokea nikawa najikuta naota najamiiana nayo ndotoni mkuu , nilivyooa ndo yakaanza kunitishia
Sub'hanallah!

Kiongozi! Kuota kufanya tendo la ndoa ni kitu cha kawaida ila zikizidi shituka kwani ni mojawapo ya njia ambazo anazozitumia jinni mahaba kumuingilia binadamu. Kuna stage 3 ambazo zinampitia muathirika wa jinni mahaba. Ya mwisho ambayo ni ya 3 huyo jinni mahaba kwa kupitia ndoto hizohizo unazofanya naye mapenzi anamwambia muathirika wake kwamba atamtokea kihalisi si kindoto tena ile amuone kabisa kwa macho.

Lakini hatujitokeza kwa umbile lake la kijinni bali kwa umbile la kibinadamu, atatokea kama msichana mrembo tu. Ila hiyo hatua ni mbaya kwani utakuwa unapiga mzigo kilazima.

Yote juu ya yote jinni kufanya hicho kitendo kwa binadamu ni haram. Anafanya makosa. Ushukuru Mungu asije akafika pahala akawa anampiga mke wako halafu mke wako akiamka anakuwa ni mwenye kulalamika viuongo vinamuuuma.

Mbali na hayo, wewe ni dini gani?
 
Duuh!Hii kali especially kwa wale tusioamini uchawi. Sasa hizo mbegu za kiume mwanamke anaweza akazalishwa na jini na akapata mtoto ambaye baba yake ni jini?
Wana vimbwanga hao. Kama mwanaume akiwa bado anamkazia huyo jinni mahaba atakufanyia kitu kibaya sana. Mwanaume mzima una lala unaota unaingiliwa nyuma na anayekuingilia anapiga mzigo kweli kweli. Ukishtuka kutoka usingizini unakuta manii kabisa sehemu ya haja kubwa.
 
Kama wewe ni muislam ni jibu sasa hivi ili nikupe Dua ya kujikinga nalo angalau kwa usiku nyakati za kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…