Roman Israel Esq
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 2,024
- 3,281
Duuh!Hii kali especially kwa wale tusioamini uchawi. Sasa hizo mbegu za kiume mwanamke anaweza akazalishwa na jini na akapata mtoto ambaye baba yake ni jini?Mdogo wangu ameoa mke juzijuzi,, analo ilo shetani,, anaota ndoto anafanywa,, asubui akihamka anajikuta ana mbegu za kiume Kwenye uke wake,,
Halafu linaleta nuksi balaa ilo,, Au ukiwa nalo mwanaume unaweza ukataka kumuingilia mkeo uume usisimame kabisa.
N'a Kuna shetani mahaba lingine linawaingilia wanaume usiku,, so Kuna wengine wanaenda wanazoea hatima yake baadae wanakuwa mapunga KABISA wanatafuta mabasha wakibinadamu wawabandue,, kama anavyohaha sasaivi UCD kutafuta vibunzi vimsugue