Naomba msaada kuhusu jini mahaba

Naomba msaada kuhusu jini mahaba

Duuh!Hii kali especially kwa wale tusioamini uchawi. Sasa hizo mbegu za kiume mwanamke anaweza akazalishwa na jini na akapata mtoto ambaye baba yake ni jini?
Mkuu we endelea Na ubishi wako Ila hata Mimi n kitu ambacho kilishawahi kunitokea. Kuna mwanamke alikuwa ananitokea usiku najikuta nafanya nae ngono. Alinikondesha Sana Yule shetani Sijui Siku hizi kafiaga wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu ameoa mke juzijuzi,, analo ilo shetani,, anaota ndoto anafanywa,, asubui akihamka anajikuta ana mbegu za kiume Kwenye uke wake,,

Halafu linaleta nuksi balaa ilo,, Au ukiwa nalo mwanaume unaweza ukataka kumuingilia mkeo uume usisimame kabisa.

N'a Kuna shetani mahaba lingine linawaingilia wanaume usiku,, so Kuna wengine wanaenda wanazoea hatima yake baadae wanakuwa mapunga KABISA wanatafuta mabasha wakibinadamu wawabandue,, kama anavyohaha sasaivi UCD kutafuta vibunzi vimsugue
mkuu mdogo wako ameoa mke juzijuzi,anaota anafanywa,akiamka anakuta mbegu za kiume uken kwake.hii imekaaje mdogo Ana jinsia gani kwani??
 
Wakuu naomba sana kujua jinsi ya kulifukuza mini l mahaba.

Na pia naomba kujuzwa kuhusu ;

1. Linatokea wapi ?

2. Lina uwezo gani kuharibu maisha ya MTU

3. Linakaa kwa MTU mpaka kipindi gani

4 . je, halifi ?

5. Kulifukuza ni mbinu gani inatumika na kulitokomeza kabisa?

Nisaidieni , mwenye ushauri mzuri sana anaweza pia kunifuata private tukaongea jinsi ya kusaidiana

Nawasilisha
Mkuu Dawa ya Shetan,majin,mapepo,ni,mojab tyuu kumrudia mungu maana hao majin ni agents wa ahetan ambae shetan mwenywe anajua kuwa mung Ndo boss mkubwa na alipo mung shetan hasogei sasa nakushaur waone watumish wa mung wa Kwel na uwe na imani kwanza weww haijalish upo din gan wala dhehebu gan iman yako ndo itakuponya majin ni madudu ya kijinga na kipuuz kama upo kwa yesu wewe pambana nalo usikubal maana mwisho wa cku utafunga nalo ndoa Ndo utakuwa mwisho wako hapo utasajiliwa direct devil kingdom .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio elimu hyo ya majini...

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa muktadha tu. Kuna siku ustadhi alikuwa anatupa kisa cha Nabii Sulayman alayhi ssalaam. Akatuambia Nabii Sulayman alimuomba Allah subhanahu wataala amuoneshe jinsi alivyowaumba majinni kwa maumbile yao halisi.

Malaika Jibril alayhi ssalaam akashuka kutoka Mbinguni hali ya kuwa Nabii Sulayman alayhi ssalaam akiwa katika sijda ya sala akiyaomba hayo. Ndipo Malaika Jibril alayhi ssalaam akatoa sauti kubwa ya wito ya amri ya kuamrisha majinni wote waje mbele ya Nabii Sulayman alayhi ssalaam kwa maumbile yao halisi. Dunia nzima ulimwengu wa majinni sauti hiyo ilisikika, wakajua sauti ya bwana mkubwa imetoa amri ya kuwataka waje na wakaja huku Malaika wengine wakiwachunga mithili ya mchungaji anavyochunga mifugo yake.

Baada ya hapo ndipo ustadhi akatuelezea jinsi Nabii Sulayman alayhi ssalaam alivyoona hayo maumbile yao halisi, na mfano waaumbile na muonekano ndiyo hayo kwa uchache niliyoelezea. Sulayman ambaye ni Nabii, kwa ghafla aliingiwa na hofu baada ya kuona maumbile ya majinni wengine. Kwani ni yenye kutisha, mithili kama Nabii Mussa alayhi ssalaam alivyoingiwa na hofu pale wachawi walipotupa kamba zao na kugeuka Nyoka wa ajabu ajabu. Lakini Mungu alimuambia Nabii Mussa alayhi ssalaam ya kwamba asihofu, kwani yeye(Mussa) ndiye mshindi. Ndivyo vivyo hivyo kwa Nabii Sulayman, Malaika Jibril alimuambia wala usiwe na hofu, kwani hawa majinni ndiyo watakao kuogopa badala ya wewe kuwaogopa.

Lakini kisa cha Nabii Sulayman alayhi ssalaam kwa uchache kina kwenda hivi;

Nabii Sulayman alayhi ssalaam alipewa "Mulkiya" ambayo hakupewa Nabii yeyote wala mtu wa aina yoyote baada yake. Hii ilitokana na Dua yake yeye mwenyewe aliposema " Ewe Mungu nakuomba unipatie ufalme ambao hakuna atakao kuwa nao baada yangu". Kwa sababu ya hii dua yake, Mungu akampa ufalme wa kudhibiti au wa kutawala kwa kudhibiti yaani hakuna atakayeweza kufurukuta kwako. Katika Qur'an Mungu anasema akampa nguvu zifuatazo;

• Nguvu(ufalme) ya kuudhibiti upepo na kuutumia upepo atakavyo.

• Nguvu ama Ufalme wa kudhibiti Majinni/Mashayatwiin.

• Nguvu ama Ufalme wa kuongea na wanyama, wadudu na ndege.

Nguvu ama Ufalme wa kuwadhibiti Majinni, mashayatwiin wa kijinni ndiyo ambayo watu wengi wa jamii tofauti wanajiuliza. Kuna machimbo ya dhahabu Sulayman alikuwa anachimba kwa zama zake ambayo mpaka sasa yanaleta maswali kwa watu kwamba aliwezaje. Lakini hii nguvu ama Ufalme alipewa na aliyeviumba hivyo wakiwemo hao Majinni. Majinni hii hali ya kudhibitiwa na Nabii Sulayman alayhi ssalaam waliona kwao ni udhalili mkubwa sana. Wakikataa kutii amri adhabu hapo hapo inawashukia na wanakamatwa na wanawekwa gerezani. Gereza lao lipo chini ya bahari.

Baada ya Nabii Sulayman alayhi ssalaam kufa. Majinni wakawa huru ila wakaleta madai kwa watu ya kwamba, wamegundua siri ya Nabii Sulayman alayhi ssalaam. Siri ipi? Ni siri ya kwa njia gani Nabii Sulayman alayhi ssalaam alivyo wa control jinni na wanyama.

Angalizo: majinni wana uwezo wa kujigeuza binadamu na ndiyo njia waliyotumia kujitokeza kwa watu baada ya kufa Nabii Sulayman.

Hawa majinni mashaytwani waliwaambia watu ambao ni Wayahudi kwamba Sulayman alayhi ssalaam anajua "sihri" Nabii Sulayman alikuwa ni mchawi. Kwa hiyo, aliwa control majinni kwa kutumia uchawi. Na hii ndiyo hali waliyokulia nayo baadhi ya Wayahudi kwamba Sulayman alitumia uchawi. Lakini Allah subhanahu wataala alimtetea Nabii wake katika Qur'an akisema;

"Wamaa kafara sulaymana walaa kinna sh'yatwiin kufr, Yuallimuna nnasa s'sihr"

Kwa maana, Sulayman hakukufuru Bali ni majinni hao wa kishaytwani ndiyo waliyokufuru kwa kuwafundisha watu uchawi"

Hapa inaonesha uchawi ni kufuru kwa Mungu. Ndiyo maana Mungu kasema Sulayman hakukufuru. Na hii aya inatumika miongoni mwa makambora kwa majinni.

Nipo ofisini aisee! Yani hapa yenyewe nimeiandika huku nafanya kazi. Baadae.
 
Mashaa Allah...elimu hii haipatikani ila kutoka kwa waislaam tu...na waislam wameitoa kutoka kwa Mtume wao Muhammad Swalallahu alayhi wa Sallam...na Mtume huyo mtukufu ameitoa kwa ALLAH A'AZZA WA JALLAH...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu , Mimi sio muislam ,
ni mkiristo !

Lakini tatizo langu linanitesa na nahitaji liishe bila kujali aina ya dini iliyoliondoa
Haya msaada wa uhakika kesho nenda kanisa la Full Gospel Bible Fellowship kwa Bishop Kakobe ujifunze neno na baadae utapata maombezi na namna ya kupambana nalo hilo lishetani litakuacha na utafurahia maisha yako tu.
 
Hili picha bila uzi wa hilo jini ni uongo 😂 mtupu
Vpi linae msambwanda mkuu😂
 
Mkuu , nateseka sana , Luna m wengine wamechukulia utani , kwa kweli siyo utani
Limenifilisi sana na kila siku usiku linakuja linaniambia lazima niachane na mke wangu LA sivyo litaniletea majanga

Likija tena chukua mche libamize
 
Back
Top Bottom