swahibu ramadhani
Member
- Apr 30, 2021
- 49
- 28
- Thread starter
-
- #81
Basi MkuuKama upo Arusha, na unataka kujua Kiingereza safi kabisa, basi nenda pale "British Council" kajiunge na course yao ya Kiingereza.
Pale utafundishwa lugha na waalimu wa Kiingereza wenyewe, ukitoka hapo utaongea kama Boris Johnson, labda kichwa chako kiwe kizito.
Nimekuwekea link yao hiyo :
Wewe hicho cheo cha kunirekebisha mimi amekupa nani wewe kilaza?Correction nyingine..
Mtu akifa huwa anakufa milele wewe kilaza,ulishawahi kuona mtu amekufa sasa hivi tu kisha kesho akarudi?Nilisema..
Continous manake ni kila siku. I don't walk...
Kama unataka kuandika sentensi ya kitendo cha sasa ungeandika..
"I am not walking to my workplace because my mother is murdered."
Halafu eti unasema is murdered.. ni continous. Mtu anaweza kuwa murdered kila siku? Anauawa.. anafufuka.. anauawa.. anafufuka. Ndio nikakuambia ukiandika in English lazima context iwe logical. Na ndio hapo kusema eti "is murdered" inaweza kuwa continous kila siku ni umbumbumbu wa hali ya juu.
Ulijisifu una pesa na mimi nikataja pesa kwenye reply,ungetaja utajiri na mimi ningetaja utajiri kwenye reply.What does your personal wealth have to do with this topic? Andika Kiswahili tu.
Kwahiyo hapa tunatumia kiingereza kipi?Kuna tofauti kubwa ya kiingereza anachoongea mtu ambaye ni lugha ameikuta na ambaye ameingia darasani kusoma. Kiingereza cha nigeria cha "You dey bust my brain" ni kigumu kukielewa hata kwa ambaye anajiona kaiva kiingereza.
Nchi yetu hatuongei kiingereza.Kwahiyo hapa tunatumia kiingereza kipi?
So stupid. Tourism sector inachangia ajira nyingi sana as well as national GDP. To succeed in tourism, one must be fluent in English language.Nchi yetu hatuongei kiingereza.
Wewe jifunze tu kwa ajili ya kuandikia report ukiwa kazini au ukipatwa na ugeni wa ghafla ofisini itakusaidia kujilinda.
You are rubbish.So stupid. Tourism sector inachangia ajira nyingi sana as well as national GDP. To succeed in tourism, one must be fluent in English language.
Hio sentensi ni MBOVU SANA. Tatizo lako unatafsiri moja kwa moja Swahili to English. Mtu akisema "Mimi ni mtu na hela zangu".. In English hauwezi kutafsiri eti I am a person with private money". Hakuna kitu kama hicho. Mtu na Hela zangu in English unatafsiri An individual with extreme wealth.Kwani wewe unanijua mimi?Ni nani asiye na hela zake?Wewe nakuona idiot tu na limbukeni mmoja.
What has your private money to do with this topic?
You are rubbish.
Unakurupuka kujibu bila kuelewa.
Kwani watu wote humu tunafanya kazi za utalii?
Kama wewe kazi yako ni utalii kitumie ukiwa kazini kwako ndicho nilichosema hapo,ukiingia uswahilini kuanza kuongea kiingereza chako watu watakuona mwehu.
wealth ni collection ya various assets haiwezi kuwa pesa pekee.Hio sentensi ni MBOVU SANA. Tatizo lako unatafsiri moja kwa moja Swahili to English. Mtu akisema "Mimi ni mtu na hela zangu".. In English hauwezi kutafsiri eti I am a person with private money". Hakuna kitu kama hicho. Mtu na Hela zangu in English unatafsiri An individual with extreme wealth.
Ulijisifu una pesa na mimi nikataja pesa kwenye reply,ungetaja utajiri na mimi ningetaja utajiri kwenye reply.
Refer source ya comment yangu sio unabwabwaja tu ili uonekane unajua kumbe ni kilaza tu.
Money ni kitu kingine na wealth ni kitu kingine hatuwezi kuyachanganya hayo maneno
Ndio nimekuandikia hapo juu. Isome sasa ujifunze kitu leo.wealth ni collection ya various assets haiwezi kuwa pesa pekee.
Tatizo lako kuna mtu alikukaririsha ikakufanya ushindwe kutumia akili yako vizuri(spoon feeding)
Huwezi kunielewa mpaka tuwe karibu nikupige makofi.Una mental problems ww. Nenda mental hospital wakakucheki. You are not normal [emoji23][emoji23][emoji23]
wealth ni collection ya various assets haiwezi kuwa pesa pekee.
Tatizo lako kuna mtu alikukaririsha ikakufanya ushindwe kutumia akili yako vizuri(spoon feeding)
πππ. Utalii ni 17% ya Tanzania GDP. Leo utaelimika tu.Huwezi kunielewa mpaka tuwe karibu nikupige makofi.
Nchi ya Kenya raia wote hadi vijijini huko wanazungumza kiingereza,wewe unaleta habari za utalii ambao unafanyika kwenye mikoa 3 tu Tanzania.
Haya tupige hesabu kwenye watanzania 60mil ni watanzania wangapi wanafanya kazi kwenye utalii?
The number is almost negligible.
Huwezi kunielewa mpaka tuwe karibu nikupige makofi.
Nchi ya Kenya raia wote hadi vijijini huko wanazungumza kiingereza,wewe unaleta habari za utalii ambao unafanyika kwenye mikoa 3 tu Tanzania.
Haya tupige hesabu kwenye watanzania 60mil ni watanzania wangapi wanafanya kazi kwenye utalii?
The number is almost negligible.
Kula bata ni lugha ya kihuni ya mtaani na si kiswahili sanifu.Tatizo lenu mnatafsiri Swahili to English directly. Mfano in Swahili unasema "Nipo nakula bata".. In English kwani utatafsiri kuandika eti "I am eating duck?" Ila ww ulivyo mbovu, sitashangaa ukitafsiri hivyo.[emoji23][emoji23][emoji23]. Mtu na hela zangu ni "Swahili slang" haimaanishi cash au money only. inamaanisha tajiri mwenye assets kama real estate, motor vehicles, stocks, and savings as well. Na hizo ni wealth au utajiri.