Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

Mrejesho. Nilipost humu kuomba ushauri kuhusu hali yangu ya afya baada ya kuambiwa ini langu lina shida. OK ilibidi nirudi Amana na kuomba rufaa ya kwenda Muhimbili kuona na Dr bingwa wa ini. Baada ya kufika Muhimbili nilifanyiwa vipimo vyote muhimu vya awali vya utambuzi wa tatizo kwenye ini, kongosho, nyongo na figo. Pia nilifanya Utrasound ya tumbo na Endoscopy. Vipimo vyote havikuonesha dalili ya uharibifu ktk ini na viungo vingine vya ndani, hivyo Dr akiishia hapo kuwa ini halina shida hivyo hakuna haja ya kuagiza vipimo zaidi. Kuhusu maumivu ya tumbo upande wa juu kulia chini ya mbavu Dr alisema huenda ni sababu ya vidonda vya tumbo ambavyo viligundulika kwenye kipimo cha Endoscopy. Hivyo zoezi la uchunguzi kuhusu ini na viungo vingine vya ndani liliishia hapo na ugonjwa pekee uliotambuliwa ni ulcers ambapo nilipewa dozi ya wiki 6. Ahsanteni kwa ushauri wenu na pole mlizonipa.
Duuuhh sasa huyo Dr wa Amana alifikiaje hiyo conclusion ya kusema una ugonjwa wa ini? Yaani Tz Kila sehemu maghumashi?

Ila siwez kumlaumu huyo Dr wa Amana inawezekana akawa Yuko sahihi pia kwa upande wake na wa Muhimbili akawa wrong and vice versa
 
KWA ALICHOKIELEZA JAMAA MA DOCTOR WENGI WA TZ WANAUWA WAGONJWA KIZEMBE SANA VIDONDA VYA TUMBO USIPOKUWA MAKINI UNAWEZA UKATIBU HIV KUMBE NI VYEENYEWE
 
Kwahiyo kwa kifupi mda wote huo ulikua unatibu tatizo ambalo huna..?[emoji849]
Inaweza kuwa 'YES' au 'NO'. Yes kwasababu hospital ya awali haikuwa na Dr wala vifaa vya kuweza kubaini tatizo kwa 100%(walikisia) kutokana na majibu ya vipimo vya damu. No kwa sbb ini linaweza kujipona lenyewe kwa matibabu au hata bila matibabu.
 
Duuuhh sasa huyo Dr wa Amana alifikiaje hiyo conclusion ya kusema una ugonjwa wa ini? Yaani Tz Kila sehemu maghumashi?

Ila siwez kumlaumu huyo Dr wa Amana inawezekana akawa Yuko sahihi pia kwa upande wake na wa Muhimbili akawa wrong and vice versa
Yote yanawezekana
 
KWA ALICHOKIELEZA JAMAA MA DOCTOR WENGI WA TZ WANAUWA WAGONJWA KIZEMBE SANA VIDONDA VYA TUMBO USIPOKUWA MAKINI UNAWEZA UKATIBU HIV KUMBE NI VYEENYEWE
Sikuwa najua hapo kabla kuwa vidonda vya tumbo ni ugonjwa hatari namna hii.
 
Pole sana mkuu endelea kuzingatia maelekezo ya madaktari utapona lakini pia nikushauri sogea kwenye madaktari bingwa zaidi muhimbili unaweza kupata matibabu.
 
mps pole kwa changamoto inayokukabili ya ugonjwa wa Ini. Njoo PM nikuelekeze dawa za kutumia.
 
Pole sana mkuu endelea kuzingatia maelekezo ya madaktari utapona lakini pia nikushauri sogea kwenye madaktari bingwa zaidi muhimbili unaweza kupata matibabu.
Nimeandika mrejesho hapo. Nilienda Muhimbili kwa Dr Bingwa akapima upya na kuhitimisha kuwa hakuna vielelezo vya shida ya ini.
 
Duuuhh sasa huyo Dr wa Amana alifikiaje hiyo conclusion ya kusema una ugonjwa wa ini? Yaani Tz Kila sehemu maghumashi?

Ila siwez kumlaumu huyo Dr wa Amana inawezekana akawa Yuko sahihi pia kwa upande wake na wa Muhimbili akawa wrong and vice versa
Hii ina tofauti gani na kupiga ramli..?
 
Mrejesho. Nilipost humu kuomba ushauri kuhusu hali yangu ya afya baada ya kuambiwa ini langu lina shida. OK ilibidi nirudi Amana na kuomba rufaa ya kwenda Muhimbili kuona na Dr bingwa wa ini. Baada ya kufika Muhimbili nilifanyiwa vipimo vyote muhimu vya awali vya utambuzi wa tatizo kwenye ini, kongosho, nyongo na figo. Pia nilifanya Utrasound ya tumbo na Endoscopy. Vipimo vyote havikuonesha dalili ya uharibifu ktk ini na viungo vingine vya ndani, hivyo Dr akiishia hapo kuwa ini halina shida hivyo hakuna haja ya kuagiza vipimo zaidi. Kuhusu maumivu ya tumbo upande wa juu kulia chini ya mbavu Dr alisema huenda ni sababu ya vidonda vya tumbo ambavyo viligundulika kwenye kipimo cha Endoscopy. Hivyo zoezi la uchunguzi kuhusu ini na viungo vingine vya ndani liliishia hapo na ugonjwa pekee uliotambuliwa ni ulcers ambapo nilipewa dozi ya wiki 6. Ahsanteni kwa ushauri wenu na pole mlizonipa.
Pole sana
 
Pole na hongera kwa kupata majibu mjarabu,Hao ndo madaktari wetu,kuna muda wanazingua,nilishawahi kutumia vidoge vya tatizo la moyo kwa mwaka mzima jumlisha na vidonge vya presha,duh kwenda mhimbili naambiwa sina tatizo la moyo na wala sitegemei kuugua moyo kwa wakati huo,nilichoka kabisa
 
Hii ina tofauti gani na kupiga ramli..?
Ila unaweza Kuta Dr Hana tatizo Bali tatizo limetengenezwa na watu wa vipimo I e maabara na vipimo vya kumulika kama ultrasound, x ray nk hao ndio nahisi wamemuingiza chaka Daktar kupitia majibu ya hivyo vipimo.
 
Duuuhh sasa huyo Dr wa Amana alifikiaje hiyo conclusion ya kusema una ugonjwa wa ini? Yaani Tz Kila sehemu maghumashi?

Ila siwez kumlaumu huyo Dr wa Amana inawezekana akawa Yuko sahihi pia kwa upande wake na wa Muhimbili akawa wrong and vice versa
Bongo kikubwa Uzima!!
 
Nimeandika mrejesho hapo. Nilienda Muhimbili kwa Dr Bingwa akapima upya na kuhitimisha kuwa hakuna vielelezo vya shida ya ini.
Anamaanisha tatizo siyo ini .nilazima ukutane na madaktari wengine wanaoweza kujua tatizo ni nini. Mi ninavojua kwa case ambazo ni complex huwa linakaa jopo la madaktari wanajadiliana na kuja na hitimisho sasa sijajua kwa case yako imefikiaje kuambiwa tu hakuna vielelezo vya shida ya ini so what's next. Baada ya jibu hilo alikuambia ufanyeje?
 
Back
Top Bottom