Naomba msaada nikifungua X (Twitter) inanipa option ya ku verify na nikibofya haikubali?

Naomba msaada nikifungua X (Twitter) inanipa option ya ku verify na nikibofya haikubali?

Abdu khalifa rehani

New Member
Joined
Jun 22, 2025
Posts
1
Reaction score
0
HABARI WAKUU NAOMBA MSAADA WA KUFUNGUA TWITTER KILA NIKIFUNGUA INALETA NI VERIFYING ILA NIKIJALIBU HAIKUBALI SHIDA NINI WAKUU HAPO?
Screenshot_20250623-065732.png
 
Tweeter ama X Kwa tz imepigwa ban, kutumia lazima uwe na VPN

Kwa hiyo download VPN kisa iwashe iwe connected ndiyo uendelee kutumia X
 
Back
Top Bottom