Naomba msaada: Uume wangu hulegea wakati wa tendo

Naomba msaada: Uume wangu hulegea wakati wa tendo

Sawa
Ukweli unauma mkuu,ila ndio ukweli huo mkuu wangu. Ukiona hivyo ujue unyumba sasa unakutupa mkono unless ufate ushauri wa wadau wa kufanya mazoezi na kubadilisha mtindo wako maisha hasa kwenye kula
 
SAIKOLOJI NI TATZO SIO PUNYETO....!! kila unapoanza mechi ilee hofu ya dyudyu kulala inakutawala sanaa...akili yako na mwili vyote Hofuu inatawala zaidi ya kiweka akili kwenye Mchezo so Mwili do what is in ur mind... Jitahdi usiwazs juu ya hilo tatizo mkuu.. Hata Leo ukiamini haitalala na utamtomb....a mkeo mpaka bhasi itawezekana kabisaaa...Na yeye asiwe anakupa maneno ya kukutisha tamaa wakati wa mechi akupe maneno matamuu zaidi...!! Tulizaa akili pigaa game mkuuuuu....[emoji113][emoji113][emoji113]
 
SAIKOLOJI NI TATZO SIO PUNYETO....!! kila unapoanza mechi ilee hofu ya dyudyu kulala inakutawala sanaa...akili yako na mwili vyote Hofuu inatawala zaidi ya kiweka akili kwenye Mchezo so Mwili do what is in ur mind... Jitahdi usiwazs juu ya hilo tatizo mkuu.. Hata Leo ukiamini haitalala na utamtomb....a mkeo mpaka bhasi itawezekana kabisaaa...Na yeye asiwe anakupa maneno ya kukutisha tamaa wakati wa mechi akupe maneno matamuu zaidi...!! Tulizaa akili pigaa game mkuuuuu....[emoji113][emoji113][emoji113]
Daah cjui nimtag wife asome hii
 
Mkuu sasa naomba nipatie mbinu gani niitumie ili kucontroll akili yangu iwaze pale tuuuuuuu
Good, basi una "plus" nyingi kuliko negatives lione hilo na likupe nguvu kwamba atleast una vitu vya kujivunia vingi zaidi. Kumbuka hiyo practice ya hizo sehemu nilizotaja siyo ya kudumu usifanye kwa muda mrefu, kama umeshajaribu na ukafanikiwa basi inatakiwa uelekeze nguvu zako sasa ktk real event "K". Usiiogope K izoeee ondoa hofu ya mbunye " mbunyephobia ha ha ha (joke) kuuubwa hapa mkuu ni wewe kukontrol akili yako tu....utafanikiwa tu, hata kama ukifail isikunyime usingizi.
 
Daah cjui nimtag wife asome hii
Yaah ndo maana ukiamua Kuchepukaa ukapiga mechi na mdada anakupa support nzuri aisee hautaamini.. So sikushauri uchepukee ilaa Mkeo akupe mambo adimu na support ya kutosha na wewe Jiamini sanaaa....!!
 
Kitambo sana niliacha kwa sababu niliona inanipotezea muda wangu na bado nikawa na nguvu za kutosha tu.
Uliacha nyeto sababu ya kupatwa madhara yke au kabla hujapatwa madhara yke?
 
Wengi wamepatia kuwa unasumbuliwa na "Hofu", ila wanakosea kukuambia ati ondoa hofu kwa kukimbia hadi utoke jasho. Sio kweli. Hofu haiondolewi na mbio. Hawajui kuwa mbio zoote za sakafu huishia ukingoni??
Hii mithali ni kweli. Utatoka kwenda jogging au hata marathon lakini je jioni itakuja??
Lazima urudi kwa mkeo. Hofu inakunasa pale pale.
Ushauri:
Tambua kwanza chanzo cha hofu yako. Hii ni wewe mwenyewe utakijua. Yawezekana ni Fedha. Mfuko ukiwa mkavu hakika, huku una mke unaye mpenda, hofu lazima ikupate tu.
Kama mahitaji yake/yako ni mengi kupita uwezo; hofu lazima ikupate (Nitachapiwa)
Ukiisha kijua chnzo cha hiyo hofu. Kiondoe. Kama ni pesa, zitafute kwa bidii zote. Kama ni kuchapiwa, wewe sio wa kwanza wala wa mwisho.
Kama ni hiyo hofu kuwa; Inalala sasa hivi. Iambie kuwa leo hulali hadi nimtoe mtu wangu jasho. Utaweza siku si nyingi. Acha kuwaza mambo ya kiuchumi ukiwa juu ya mkeo. Waza uzuri wake na namna ulivyo jaaliwa kuwa na supper woman wako. Tamani kumvua nguo hata kama ndo mnakula na usijali muda bali hapo hapo dining mkunjie kwenye kiti.
Jitahidi kubadilisha style. Fanya kila utundu ili mradi umepiga show 2 au 3 kwa siku. Hata zikiwa fupi fupi ilimradi umemtwanga
 
Una stress? Au ume punguza kuwaza tendo la ndoa... au umepunguza upendo kwa mwenza wako... kama sio aya basi utakua una tatizo physically ambalo kama uja jichua basi ni vyakula... lakini nina hakika auna tatizo physically kwa sababu asubui una simama na kwenye romance una simama..means una tatz mentally kutana na wana saikolojia ndugu wata kusaidia
 
Kaka, ondoa hofu kabisa juu hilo, maana si tatizo kabisa . Kuanzia sasa kwenye ratiba zako za kila siku hakikisha unakula ndizi mbivu zisizopungua 5 asubuhi mpaka mchana. Na hakikisha unakula ndizi zile zilizoiva sana, na ufanye huo ndiyo utaratibu wako wa maisha. Pili , kila siku katika maisha yako uwe unakula vitunguu saumu punje 5-8 , kama unaweza kuvitafuna ni vizuri zaidi, kama utavikatakata kuwa kama silesi ndogo ndogo ukameza kama dawa ni vizuri zaidi pia, ukivitwanga na kuvinywa pia ni vizuri. Na Tatu , hakikisha kila siku unatafuna tangawizi mbichi , au unatengeneza juice yake . Na nne , hakikisha kila siku unakunywa maji ambayo siyo ya baridi zaidi ya Lita 3. Na wala usinywe kinywaji chochote kile cha baridi masaa 2 kabla ya kwenda kwenye mgegedo AKA mechi , ili kufanya mzunguko wa damu kuwa mzuri maeneo yote ya mwili wako na kufanya kuwepo na msisimko mzuri wa mwili kabla na wakati wa tendo.
Nakutakia maisha mazuri ya ndoa.
Kama una swali uliza tu.
 
Kitambo sana niliacha kwa sababu niliona inanipotezea muda wangu na bado nikawa na nguvu za kutosha tu.
We huna ugonjwa ila unamiliki ugonjwa. kula vizuri halafu tibu uoga wako..usiwaze ugonjwa wako kwa km mwezi hivi kula vizuri na ukukutana na mkeo usiwaze kuhusu uume wako we focus na mwili wake fanya romance vyakutosha ingiza ukilala tabasamu pumzika, fanya romance zamisha ukilala tabasamu piga story hivo hivo...usimiliki kitu ambacho huna USIMILIKI KITU AMBACHO HUNA.Usiwaze ugonjwa wala kumridhisha mkeo, wala usipomridhisha atakuonaje.
 
have u tempered with your feelings before?? i mean do u practice other type of sex kwa siri?? acha.
 
Umenikosea sana adabu mkuu.

Sijawahi kuchepuka na sina mpango huo kabisa.
Samahani sana mkuu kwa kwenda kinyume na maoni yako.
hajakukosea adabu kakufungua akili unaishi na mkeo bila kuchepuka kwani kakuroga?
 
Mi nakushauri tafuta sana pumzi, kula sana protini, anza misheni ya kutomwaga hata kwa wiki mbili kabla ya tendo.

By kumwaga namaanisha kivyote. Iwe kwa puchu au ngono kawaida.
 
Back
Top Bottom