Una hofu....hiyo hali hutokea kwa kila mwanaume angalau mara 1 katika maisha yake, kupotea au kutokupotea kwa hali hiyo hutegemea sana na jinsi utakavyoipokea hiyo hali na kudeal nayo....kadri utakavyo kuwa unashindana na kutaka kulazimisha akili yako ikubali ifanye vile unavyotamani au kutaka ifanye( kudindisha au kupenyeza uume ukeni) ndvy hali hy inazidi kuwa mbaya au kuongeza ukubwa wa tatizo na uume kulegea zaidi . Nini sasa cha kufanya?
1. Ondoa hofu, na tambua kuwa hauna tatizo lolote la nguvu za kiume.
2. Ukiwa faragha na mkeo jaribu kurelax hasa akili, yani relax kabisa usifikirie kufeli kwa hilo tendo( be positive). Na ikitokea umefail basi usipanic kabisaaa, jipe confidence na rudia rudia maneno (kimya kimya) kwamba "naweza fanya" (I can do this) au jisemeshe kuwa "sina tatizo".
3. Usiwaze kwa haraka kukamilisha hilo tendo au usiwaze kumkomoa mkeo, wewe ifanye akili zako ziwe pale muda wote. Mpe muda mkeo afanye mautundu yake BJ ihusike sana, ikidinda anza kwanza kwa kufanya mazoezi kwa mke aibane mb*** kwa matiti yake kwanza au akunje mguu uingize kwenye upennyo wa mguu na paja kwa, hii inakujenga confidence...fanya hv mara kadhaa..mpaka utakapoona umegain confidence ya kutosha.
4. Baada ya hzo practice chagua style ambazo zitakufanya dushe liwe karibu na mbunye ili kuwa standby huku mkiongea nasty language au lugha yyt laini ili kukufanya uwe stimulated na ikitokea imesimama we unapenyeza fasta huku ukiondoa hofu.
5. Probably utakuwa unapata pia na premature ejaculation pia, sy issue ni hali ya kawaida usjari we focus katika lengo lako ( kurelax na kuondoa hofu) huku mkeo akiplay part kubwa ya yeye kutokupanic pia.
6. Mwisho kabisa fanya mazoezi na kula vzr kama wajumbe wengine walivyoshauri hii itasaidia pia kubalance chemicals ambazo pia ni mhm ktk tendo. Lkn mhm kumbuka na weka kichwani kwako kuwa huna tatizo la kutisha na hiyo hali hutokea kwa kila mwanaume angalau mara 1 ktk maisha yake.