Kwanza kabisa, shukuru haiangalii chini, ingekuwa inaangalia chini tungesema hauna nguvu. Yako haiangalii chini wala juu maana yake una nguvu za wastani, nguvu hizo za wastani lolote linaweza tokea, zinaweza pungua au kuongezeka kutokana na mtindo wa maisha utakaoishi. Badili mtindo wa maisha ili ziongezeke.
CHA KUFANYA.
1: Nenda hospitali kapime watajua nini tatizo.
2: Acha kuungia mboga mafuta ya kula ya aina yoyote, baadala yake ungia karanga mbichi, yaani zitwange karanga mbichi ziwe unga halafu zitumbukize kwenye mboga.
3: Kula vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume, shahawa, mbegu na akili.
MUHIMU.
Anza na hospitali kwanza.