Naomba msaada: Uume wangu hulegea wakati wa tendo

Huna tatizo ni hofu imekujaa. Anza kufanya mazoezi mepesi kila siku na kula protein sana. Kila siku jioni kwa muda wa nusu saa jaribu usifanye x kwa siku 3-4 utarudi hali ya kawaida.

Kwa tuliooa hiyo hali inatokea hasa ukifululiza sex na bila kufanya mazoezi. Pia kuzoeana kunachangia sana badilini style pia. Kila la heri
Asante mkuu wengi wakichangia maneno machache kama yako huwa ni porojo ila wewe umeweza kuyatumia machache kunisaidia asante sana
 
Mkuu mm nadhani ni mawazo na kutofanya mazoezi mana nina mda sana sina mazoezi japo sina uzito wa kiivyo.

Kwa sababu daaaaah inauma sana mkuu.

Unakuta nipo kwenye game mawazo yote yapo katika gemu ya jana naona kabisa kwamba nawaza jana italala na akili inasema saivi inalala hiyoooo hiyooo na inalala kweli mkuu.

Yani daah nawezaje kuithibiti akili isiwaze huu upumbavuu mkuu?

Au kupitia mazoezi hasa kukimbia yanaweza kunisaidia katika hilo mkuu???
Sometimes kuna mengi!! Inawezekana ni hisia zako zinazokufelisha kabisa!! Ama haupo sawa kiakili labda kuna jambo linakukabili ilitaka kupelekea stress!! Hizo ndizo athari zake.

Pili, badilisha mazingira na mkeo!! Siku moja badala ya kulala ndani tumieni 40,000 tuu toka nenda hotel mbali na hapo mkalale huko!! Kuzoea sana mazingira husababisha jambo lile kufanyika vile vile kila siku katika style zile zile maeneo yaleyale lazima akili ichoke jombaa!!

Tatu, punguza chips na soda!! Sikupigi dongo ila namaanisha inawezekana kuna vyakula unakula sana vinapelekea wewe kupata fatigue na hujielewi!! Matokeo yake ukitulia anasimama ukianza kujishughulisha ndipo athari zinaonekana na hapo ndo unashindwa kuendelea na tendo mzeebaba anageuka konokono anarudi katika jumba lake!!

Mwisho, mazoezi ni kila kitu!! Mwili ukiwa vizuri kila kitu kitakwenda sawa katika mwili kuanzia na akili hadi duduwasha ataweza kuwajibika vyema na kukata kiu ya mkeo!!

Kionjo: Kama mkeo ni mama wa nyumbani basi mpendezeshe, hadi ukikaa nae karibu unajisi eeeeh upo na chombo!! Ianwezeka a yupo rafurafu na akili imemkataa yaan amekuwa si viwango vyako tena
 
Daaahhhh unaweza kucheka kumbe mtu anateseka.
Sababu zinaweza kuwa 2 au zaidi
Mosi😛sychological matter. Kuna jambo(siri) linakuumiza. May be lakifamilia au la kibinafsi.
Pili: Mambo ya kiroho, hapa huenda pepo au uchawi unatawala ndoa yako ili kuwaachanisha(kuvuruga).
Dah mkuu akili yangu iko sawa tuuu wala hakuna kinachonipa stress ila sasa kuna ule wakati wa game yani kuna mawazo hunijiaa kwamba inasinyaaa na inasinyaa kweli na pale nakata tamaa kabisaa haisimami
 
Abuhafsa unahitaji kupata dawa ile ya kukutana na beberu la mbuzi kama umewahi kuisikia!!
 
Una hofu....hiyo hali hutokea kwa kila mwanaume angalau mara 1 katika maisha yake, kupotea au kutokupotea kwa hali hiyo hutegemea sana na jinsi utakavyoipokea hiyo hali na kudeal nayo....kadri utakavyo kuwa unashindana na kutaka kulazimisha akili yako ikubali ifanye vile unavyotamani au kutaka ifanye( kudindisha au kupenyeza uume ukeni) ndvy hali hy inazidi kuwa mbaya au kuongeza ukubwa wa tatizo na uume kulegea zaidi . Nini sasa cha kufanya?

1. Ondoa hofu, na tambua kuwa hauna tatizo lolote la nguvu za kiume.
2. Ukiwa faragha na mkeo jaribu kurelax hasa akili, yani relax kabisa usifikirie kufeli kwa hilo tendo( be positive). Na ikitokea umefail basi usipanic kabisaaa, jipe confidence na rudia rudia maneno (kimya kimya) kwamba "naweza fanya" (I can do this) au jisemeshe kuwa "sina tatizo".
3. Usiwaze kwa haraka kukamilisha hilo tendo au usiwaze kumkomoa mkeo, wewe ifanye akili zako ziwe pale muda wote. Mpe muda mkeo afanye mautundu yake BJ ihusike sana, ikidinda anza kwanza kwa kufanya mazoezi kwa mke aibane mb*** kwa matiti yake kwanza au akunje mguu uingize kwenye upennyo wa mguu na paja kwa, hii inakujenga confidence...fanya hv mara kadhaa..mpaka utakapoona umegain confidence ya kutosha.
4. Baada ya hzo practice chagua style ambazo zitakufanya dushe liwe karibu na mbunye ili kuwa standby huku mkiongea nasty language au lugha yyt laini ili kukufanya uwe stimulated na ikitokea imesimama we unapenyeza fasta huku ukiondoa hofu.
5. Probably utakuwa unapata pia na premature ejaculation pia, sy issue ni hali ya kawaida usjari we focus katika lengo lako ( kurelax na kuondoa hofu) huku mkeo akiplay part kubwa ya yeye kutokupanic pia.
6. Mwisho kabisa fanya mazoezi na kula vzr kama wajumbe wengine walivyoshauri hii itasaidia pia kubalance chemicals ambazo pia ni mhm ktk tendo. Lkn mhm kumbuka na weka kichwani kwako kuwa huna tatizo la kutisha na hiyo hali hutokea kwa kila mwanaume angalau mara 1 ktk maisha yake.
 
Best !! Thank you .....Hapa nimekupata Vyema

Asante sana mkuu nashkuru kwa muda wako na nimepata mwanga.

Ila kuhusu ejaculation naenjoy mwenyewe.
Naweza jizuia kwa sababu ni mdau wa kegel sana siiachagi mkuu hivyo kukojoa nataka mimi muda gani niwakaribishe wazungu tanzania.

Ikisimama mkuu nikawa nasugua humo ulimotaja naweza kanyaga hata 4 au 5
 
[emoji23][emoji23] Masturbation Nimeanza nikiwa kidato cha kwanza Mpaka kidato cha Nne !! ..... Ila Mimi najua ni tatizo tu la Kisaikolojia !! Mazoezi kiasi ili kufanya damu zitembee Mpaka uumeni !! Nishawahi kumpiga Demu mpaka kanyanyua Mikono juuu!!

Bado sjaoa ila Tunajiandaa Kisaikolojia
Mkuu nawe unafatilia au
 
Kwa sababu unaogopa unavyoviona kwenye hayo mashimo. Uambie uingie umefunga macho.
 
Asante sana mkuu nashkuru kwa muda wako na nimepata mwanga.

Ila kuhusu ejaculation naenjoy mwenyewe.
Naweza jizuia kwa sababu ni mdau wa kegel sana siiachagi mkuu hivyo kukojoa nataka mimi muda gani niwakaribishe wazungu tanzania.

Ikisimama mkuu nikawa nasugua humo ulimotaja naweza kanyaga hata 4 au 5
Good, basi una "plus" nyingi kuliko negatives lione hilo na likupe nguvu kwamba atleast una vitu vya kujivunia vingi zaidi. Kumbuka hiyo practice ya hizo sehemu nilizotaja siyo ya kudumu usifanye kwa muda mrefu, kama umeshajaribu na ukafanikiwa basi inatakiwa uelekeze nguvu zako sasa ktk real event "K". Usiiogope K izoeee ondoa hofu ya mbunye " mbunyephobia ha ha ha (joke) kuuubwa hapa mkuu ni wewe kukontrol akili yako tu....utafanikiwa tu, hata kama ukifail isikunyime usingizi.
 
[emoji23][emoji23] Masturbation Nimeanza nikiwa kidato cha kwanza Mpaka kidato cha Nne !! ..... Ila Mimi najua ni tatizo tu la Kisaikolojia !! Mazoezi kiasi ili kufanya damu zitembee Mpaka uumeni !! Nishawahi kumpiga Demu mpaka kanyanyua Mikono juuu!!

Bado sjaoa ila Tunajiandaa Kisaikolojia
Kumbe mtizi ulikusaidia mkuu au vipi?
 
Sawa mkuu japo sio maneno mazuri kwa muungwana lakini ndo watu tulivyo.

Asante.
Ukweli unauma mkuu,ila ndio ukweli huo mkuu wangu. Ukiona hivyo ujue unyumba sasa unakutupa mkono unless ufate ushauri wa wadau wa kufanya mazoezi na kubadilisha mtindo wako maisha hasa kwenye kula
 
Pole sana kwa maswahibu uliyonayo.
Fanya yafuatayo:-
1. Kula mchemsho wa bamia na nyanya chungu(zile chungu kweli) kila siku kwa muda wa siku 30 -90
2.Fanya mazoezi ya viungo
3.Tafuna mbegu za mlonge asubuhi na usiku kabla ya kulala au kunywa maji ya moto kikombe kimoja cha chai chenye kijiko kimoja cha unga wa mbegu za maboga x2 kwa siku.
4. Paka mafuta ya zaituni (olive oil) kwenye uume wako na eneo la kinena kisha uufanyie massage uume kila siku usiku kabla ya kulala

Njia zote hizo zisipokusaidia, utanitumia PM kwa msaada zaidi.
Kila la heri!
 
Jaribu kutafuta sehemu mpya au style mpya ya kugegedea. Km mlizoea kitandani wekeni hata kochi dogo chumbani halafu wanasema wenye Hilo tatizo watumie doggy style inahamasisha hivyo hutakuwa na tatizo la mgosi agona
 
Mkuu pole sana ,unahitaji mazoezi na chakula kisicho na wanga au sukari.Pia unatakiwa kujiamini wakati wa romance na wakati wa sex.
 
Back
Top Bottom