Naomba msaada: Uume wangu hulegea wakati wa tendo

Kijana kijana

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
2,546
Reaction score
2,621
Wakuu nimefika maji ya shingo mwanaume mwenzenu tafadhali.

Ninamke wakuu ila tatizo kwngu uume unalegea katikati ya tendo alafu pia majuzi nilikuja na uzi wa kuomba mafuta ya kulainisha ili iwe rahisi kuingiza dusher katika uke wa mke wangu kutokana na uume wangu kulegea baadhi ya muda hivyo unakuwa hauingii vizuri.

Ajabu ni kwamba

Nikiamka asubuhi uume unasimama na unakuwa mgumu kama msumari mpaka wife mwenyewe anasifia mmmh mume mbona mgumu kama jiwe.

Nikiwa katika romance unakomaa haswa unakuwa mgumu kweli kweli ila nikianza kuingiza mda fulani unalegea legea.

Sehemu zingine zote uume unasimama imara ila nikiwa katika tendo daaaah inauma sana alafu wife yuko vizuri wakuu nusura nilie machozi kwa sababu ishUK naitamani ila jogoo kalegea,natamani ikisimama tu kama msumari niingize ili iingie udhuuuriii lakini naona sio vyema kuingiza kabla ya kumuandaa naye ataumia.

Nimeacha punyeto mda sana ila nilichukulia kawaida sikutaka kujitibu kwa sababu sikuamini kama imeniathiri.

WAKUU MWENYE NJIA YA KUNISAIDIA TAFADHALI AILETE TAFADHALI SANA WAKUU NAWAOMBENI
 
Pole sana
 
Acha kuchepuka, vimada huwa hawana akili nzuri
 
Unatatizo la hofu, na kisaikolojia.
Inaonekana unakuwa na hofu kuwa uume utalala.

Jaribu kufanya mazoezi ya kukimbia, kamba, kichurachura, squats.
Pendelea kunywa tangawizi, asali, kitunguu swaumu, karanga na maziwa na maji ya kutosha.

Mwisho kabisa ni kujiamini, hili ndo wapaswa kuzingatiaa kwa asilimia kubwa.
 
Tune your mind, be positive, eat well, excercise. All's gonna be well.

Sijui nimepatia. Maana hii lugha hii.
 
Mashine kukata umeme/moto ni tatizo dogo, kwanza ondoa hofu, pili dawa yake ni mazoezi tu asubuhi ya kukimbia (Jogging), hakikisha unakimbia mpaka jasho zito litoke. Fanya muda wa week mbili tu utapata majibu mazuri, na kila siku ongeza umbali sio unakimbia dakika 5 tu. Hii itakujenga ki saikolojia, pumzi, kuondoa sumu mwilini ya vyakula vya madawa, na kuchemsha damu/mishipa.

Atakaekuambia wire kwenye mashine zinagusana na kusababisha shoti ya umeme, au kuna shoti imesababisha kukata fuse, si kweli.
 
Mkuu wacha nianze leo jioni kukimbia naanza na km 4 kwanza mana daah inakwra sana

Nikimtizama wife anapita na kanga moja au night dress jamaa anasimama bara bara ila nikiingia mzigoni daah mpaka naomba sapoti ya mkono kabisa.
 
Tune your mind, be positive, eat well, excercise. All's gonna be well.

Sijui nimepatia. Maana hii lugha hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nina stress za penis sleeping during the sex ila umenivunja mbavu.

Sijui na mimi nimepatia hyo lugha ama?

Mana lugha zingine hizi zimekuja na wale jamaa wa pua ndefu kweli kabisa
 
Fanya mazoezi na uache kula vyakula vya hovyo, hafu unaonekana labda unastress. Ila nimekushangaa kusema haujawahi kuchepuka labda kama wewe mkeo kakuziba macho.
Umenikosea sana adabu mkuu.

Sijawahi kuchepuka na sina mpango huo kabisa.
Samahani sana mkuu kwa kwenda kinyume na maoni yako.
 
Wakuu nimefika maji ya shingo mwanaume mwenzenu tafadhali.

Ninamke wakuu ila tatizo kwngu uume unalegea katikati ya tendo alafu pia majuzi nilikuja na uzi wa kuomba mafuta ya kulainisha ili iwe rahisi kuingiza dusher katika uke wa mke wangu kutokana na uume wangu kulegea baadhi ya muda hivyo unakuwa hauingii vizuri.

Ajabu ni kwamba

Nikiamka asubuhi uume unasimama na unakuwa mgumu kama msumari mpaka wife mwenyewe anasifia mmmh mume mbona mgumu kama jiwe.

Nikiwa katika romance unakomaa haswa unakuwa mgumu kweli kweli ila nikianza kuingiza mda fulani unalegea legea.

Sehemu zingine zote uume unasimama imara ila nikiwa katika tendo daaaah inauma sana alafu wife yuko vizuri wakuu nusura nilie machozi kwa sababu ishUK naitamani ila jogoo kalegea,natamani ikisimama tu kama msumari niingize ili iingie udhuuuriii lakini naona sio vyema kuingiza kabla ya kumuandaa naye ataumia.

Nimeacha punyeto mda sana ila nilichukulia kawaida sikutaka kujitibu kwa sababu sikuamini kama imeniathiri.

WAKUU MWENYE NJIA YA KUNISAIDIA TAFADHALI AILETE TAFADHALI SANA WAKUU NAWAOMBENI
Una jini mahaba njoo nimtoe huyo
 
Daaahhhh unaweza kucheka kumbe mtu anateseka.
Sababu zinaweza kuwa 2 au zaidi
Mosi😛sychological matter. Kuna jambo(siri) linakuumiza. May be lakifamilia au la kibinafsi.
Pili: Mambo ya kiroho, hapa huenda pepo au uchawi unatawala ndoa yako ili kuwaachanisha(kuvuruga).
 
Sometimes kuna mengi!! Inawezekana ni hisia zako zinazokufelisha kabisa!! Ama haupo sawa kiakili labda kuna jambo linakukabili ilitaka kupelekea stress!! Hizo ndizo athari zake.

Pili, badilisha mazingira na mkeo!! Siku moja badala ya kulala ndani tumieni 40,000 tuu toka nenda hotel mbali na hapo mkalale huko!! Kuzoea sana mazingira husababisha jambo lile kufanyika vile vile kila siku katika style zile zile maeneo yaleyale lazima akili ichoke jombaa!!

Tatu, punguza chips na soda!! Sikupigi dongo ila namaanisha inawezekana kuna vyakula unakula sana vinapelekea wewe kupata fatigue na hujielewi!! Matokeo yake ukitulia anasimama ukianza kujishughulisha ndipo athari zinaonekana na hapo ndo unashindwa kuendelea na tendo mzeebaba anageuka konokono anarudi katika jumba lake!!

Mwisho, mazoezi ni kila kitu!! Mwili ukiwa vizuri kila kitu kitakwenda sawa katika mwili kuanzia na akili hadi duduwasha ataweza kuwajibika vyema na kukata kiu ya mkeo!!

Kionjo: Kama mkeo ni mama wa nyumbani basi mpendezeshe, hadi ukikaa nae karibu unajisi eeeeh upo na chombo!! Ianwezeka a yupo rafurafu na akili imemkataa yaan amekuwa si viwango vyako tena
 
Mkuu wacha nianze leo jioni kukimbia naanza na km 4 kwanza mana daah inakwra sana

Nikimtizama wife anapita na kanga moja au night dress jamaa anasimama bara bara ila nikiingia mzigoni daah mpaka naomba sapoti ya mkono kabisa.
Pia punguza/acha vitu vya sukari nyingi na mafuta mengi, kama vile soda, juice special (za kununua dukani kama unatumia, tumia juice za kutengeneza nyumbani), keki, biscuit, pizza n.k.

Ukifanya mazoezi muda wa week mbili utaona mabadiliko, na ukiamua kuendelea ikifika mwezi hutaacha mazoezi kwa faida utakazo ziona kuanzia kulala vizuri, mawazo kupungua, mafuta kupungua mwilini, mpaka mwili unakua mwepesi.
 
Huna tatizo ni hofu imekujaa. Anza kufanya mazoezi mepesi kila siku na kula protein sana. Kila siku jioni kwa muda wa nusu saa jaribu usifanye x kwa siku 3-4 utarudi hali ya kawaida.

Kwa tuliooa hiyo hali inatokea hasa ukifululiza sex na bila kufanya mazoezi. Pia kuzoeana kunachangia sana badilini style pia. Kila la heri
 
Back
Top Bottom