Naomba msaada: Uume wangu hulegea wakati wa tendo

Naomba msaada: Uume wangu hulegea wakati wa tendo

Sometimes kuna mengi!! Inawezekana ni hisia zako zinazokufelisha kabisa!! Ama haupo sawa kiakili labda kuna jambo linakukabili ilitaka kupelekea stress!! Hizo ndizo athari zake.

Pili, badilisha mazingira na mkeo!! Siku moja badala ya kulala ndani tumieni 40,000 tuu toka nenda hotel mbali na hapo mkalale huko!! Kuzoea sana mazingira husababisha jambo lile kufanyika vile vile kila siku katika style zile zile maeneo yaleyale lazima akili ichoke jombaa!!

Tatu, punguza chips na soda!! Sikupigi dongo ila namaanisha inawezekana kuna vyakula unakula sana vinapelekea wewe kupata fatigue na hujielewi!! Matokeo yake ukitulia anasimama ukianza kujishughulisha ndipo athari zinaonekana na hapo ndo unashindwa kuendelea na tendo mzeebaba anageuka konokono anarudi katika jumba lake!!

Mwisho, mazoezi ni kila kitu!! Mwili ukiwa vizuri kila kitu kitakwenda sawa katika mwili kuanzia na akili hadi duduwasha ataweza kuwajibika vyema na kukata kiu ya mkeo!!

Kionjo: Kama mkeo ni mama wa nyumbani basi mpendezeshe, hadi ukikaa nae karibu unajisi eeeeh upo na chombo!! Ianwezeka a yupo rafurafu na akili imemkataa yaan amekuwa si viwango vyako tena

Mkuu umemaliza kila kitu hapo, nilitaka kumwambia hivyo hivyo ulivyonena. Ushauri mzuri sana, Abuhafsa chukuwa huu ushauri na vile vile punguza kuwa na stress.Ligogoma amekupa ushauri mzuri mno ukifuata alivyokushauri utaona mabadiliko katika ndoa yako. Watanzania wenzangu wakati mwengine huwa twendeni hata Holiday ya weeke kubasilisha mazingira.
 
Ni jambo la muda uwatokea wengi, jaribu kujipa muda fanya mazoezi, punguza kuwaza sana japo mawazo huja yenyewe lakni unaweza kuya control vema,
 
Nyumba yako ina dari? maana kama haina dari na upande wa pili kuna watu basi hicho kitendo lazma kitokee!
 
Ni jambo la muda uwatokea wengi, jaribu kujipa muda fanya mazoezi, punguza kuwaza sana japo mawazo huja yenyewe lakni unaweza kuya control vema,
Mkuu nawezaje kuithibiti akili katika hili au nitumie njia gani itakayo nisaidiaaa mkuu?

Mana inanimaliza
 
Ni jambo la muda uwatokea wengi, jaribu kujipa muda fanya mazoezi, punguza kuwaza sana japo mawazo huja yenyewe lakni unaweza kuya control vema,
Mkuu naweza fanya mazoezi jioni ama vizuri zaidi iwe asubuhiiii?
 
Mkuu mm nadhani ni mawazo na kutofanya mazoezi mana nina mda sana sina mazoezi japo sina uzito wa kiivyo.

Kwa sababu daaaaah inauma sana mkuu.

Unakuta nipo kwenye game mawazo yote yapo katika gemu ya jana naona kabisa kwamba nawaza jana italala na akili inasema saivi inalala hiyoooo hiyooo na inalala kweli mkuu.

Yani daah nawezaje kuithibiti akili isiwaze huu upumbavuu mkuu?

Au kupitia mazoezi hasa kukimbia yanaweza kunisaidia katika hilo mkuu???
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Pole sana mkuu hata mm n muadhirika wa hili na imenitokea jana

Mm skua Na felling za kuvaa ndom mzuka
Wang ulikua nyama Kwa nyama Sasa
Dakika za mwisho manz akagoma

Bila ndom hatak ilinibd nikanunue ndom
Kwenda na kurud stim yote ikakata
Hata na ikalala kabsa

Hii n balaa kabsa
 
Dah mkuu akili yangu iko sawa tuuu wala hakuna kinachonipa stress ila sasa kuna ule wakati wa game yani kuna mawazo hunijiaa kwamba inasinyaaa na inasinyaa kweli na pale nakata tamaa kabisaa haisimami
Ww n kama mm tu aiseeee Ila mm n Jana
Imenitokea the first time
 
Tunapambana vipi mkuu?
Mkuu mm naona tuzingatie lishe,
Mazoez,kujiamn,n.k kama walifoshaur
Wadau wengine huko huko juu

Hii mm imenishangaza sana Jana
Nkafkir pengne n Kwa sababu hii week yote
Nmeshinda kaz asubuh mpaka usku narud
Home night sana kwa week mbili hiz zmepta

Mpaka nahis n uchofu mwingi juu mwili
Hauja Punzka wala kupata time ya kurlax
Pia mazoez kwang naona cjafanya mda
So tuzingatie sana mazoez dam itembee
Mwilin
 
Mimi ni mtu mzima kiasi shida itakuwa mara mbili eidha wewe unae pepo mchafu anakulegeza au mkeo analo pepo chafu meone mwenye ksrama ayatoe na utafurahia ndoa yako pole sana
 
Ni jambo la muda uwatokea wengi, jaribu kujipa muda fanya mazoezi, punguza kuwaza sana japo mawazo huja yenyewe lakni unaweza kuya control vema,
Mkuu ww iliwah kukutokea
 
Back
Top Bottom