Naomba msaada wa kifedha nilipie pango. Mwenye nyumba kaja kutoa vitu

Bila shaka ukweli umeupata. Mtoa mada anaonekana ameathiriwa na maisha ya kamari! Jambo ambalo ni hatari kwa vijana wengi. Kwa maisha yake hayo, hana tofauti na mtumiaji wa madawa ya kulevya. Maana hawezi kuacha kwa urahisi.

Inawezekana hata hela ya kodi alishapewa na mzazi wake, matokeo yake akaenda kuichezea kamari! Kwa mantiki hii lazima aje tu kuomba msaada humu jukwaani.
 
Mkuu huwa upo direct sana, na mara nyingi upo sahihi.
 
Be blessed [emoji123][emoji123]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Namba ya mwenye nyumba 0714 293791 mzee bernard
 
Utaolewa soon acha ukahaba

Mimi nianza kujitegemea nikiwa la nne kwa kufanya vibarua siku za wikend na likizo hasa kulima,kufua,kuosha vyombo mahotelini jioni,nk na nilikuwa mdogo hadi namaliza chuo kikuu ndivyo niliishi hivyo

Sasa wewe jitu zima unaomba hela?aibu sana!!!
 
Huo ndiyo uhalisia mimi wazazi wangu walikuwa na nafasi wakawa wanaishi maisha ya mboga saba nimesoma kwa vibarua hadi chuo kikuu hata mahari ya kuoa nilitoa mwenyewe kwa sasa nawaangalia tu siyo jukumu langu kuwalea wadogo zangu na wao,misaada yangu naelekeza kwa maskini na wanangu,wamesema maneno mabaya dhidi yangu lakini Mungu ananisimamia kwani sina deni nao!!

Apambane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…