Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Mbona nilisema wanajf tuonane mligomaSasa tukutane lini?[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nilisema wanajf tuonane mligomaSasa tukutane lini?[emoji23]
Bila shaka ukweli umeupata. Mtoa mada anaonekana ameathiriwa na maisha ya kamari! Jambo ambalo ni hatari kwa vijana wengi. Kwa maisha yake hayo, hana tofauti na mtumiaji wa madawa ya kulevya. Maana hawezi kuacha kwa urahisi.Wengine humu tunasimama kama wazazi kuwapa miongozo hawa watoto, bado wapo kwenye foolish age kukosea kupo ni sehemu ya kujifunza.
Cha muhimu na msingi je maelezo yake ni kweli?
Dhiki za maisha ndio zinawapeleka vijana kujaribu bahati zao kwenye kubet, si busara kuwahukumu watoto badala ya kuwaekekeza jema na baya.
Hawa vijana wa sasa wanakwenda chuoni akili bado hazijakomaa, mimi nakumbuka kipindi naanza form one kuna tuliowakuta form two, three na four ni wakubwa sana wananyowa ndevu kabisa, mimi nakumbuka wapo tuliokuwa tunawaamkia na hata head Master alikuwa anawatreat tofauti ni watu wazima na akili zao kabisa.
Sasa usishangae Graduate wa leo kichwani hamna kitu, kuna transformation ya kizazi.
Labda alirisit mara 7 mfululizo.Duuuh uko JF tangu 2012, leo uko chuo ni level gan? Masters au PHD?
Nguo inayouzwa 3000 dsm. Dom ni 10000.Unaijua DODOMA wewe?kule kuna gharama
[emoji23][emoji23]shangaa na ww kwanzaDuuuh uko JF tangu 2012, leo uko chuo ni level gan? Masters au PHD?
Mkuu huwa upo direct sana, na mara nyingi upo sahihi.Nakupa akili next time kwakuwa upo Dodoma na bunge lipo Dodoma unatakiwa kwenda bungeni na wabunge wapo hukatazwi kuingia unakwenda kumuona mbunge wako unamueleza kiukweli changamoto zako lazima utasaidiwa kama hakuna utapeli wowote.
Wakati mwingine muwe mnachangamsha akili, hata mbunge ambaye si wa jimbo lako mwenye huruma anakusaidia, hiyo ni ela ya vocha tu kwao.
Be blessed [emoji123][emoji123]Wengine humu tunasimama kama wazazi kuwapa miongozo hawa watoto, bado wapo kwenye foolish age kukosea kupo ni sehemu ya kujifunza.
Cha muhimu na msingi je maelezo yake ni kweli?
Dhiki za maisha ndio zinawapeleka vijana kujaribu bahati zao kwenye kubet, si busara kuwahukumu watoto badala ya kuwaekekeza jema na baya.
Hawa vijana wa sasa wanakwenda chuoni akili bado hazijakomaa, mimi nakumbuka kipindi naanza form one kuna tuliowakuta form two, three na four ni wakubwa sana wananyowa ndevu kabisa, mimi nakumbuka wapo tuliokuwa tunawaamkia na hata head Master alikuwa anawatreat tofauti ni watu wazima na akili zao kabisa.
Sasa usishangae Graduate wa leo kichwani hamna kitu, kuna transformation ya kizazi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona nilisema wanajf tuonane mligoma
Kanaswa [emoji23]View attachment 2207254
HUYU KIJANA NI OMBA OMBA SANA MPAKA KWENYE KUBETI KULE ANAOMBA SANA HELA.
NA ANA URAIBU NA KAMARI. KUWENI.MAKINI SANA
View attachment 2207255
Hela zake anazielekeza huku. Kuweni makini sana
Tatizo humu mna Avatar zaidi ya moja, unaanzisha kisha unajipigia debe kwa Avatar nyingine halafu unajidai kumchangia kwa Avatar ya tatu.Hongera kwa kuwa muwazi na kuleta tatizo lako, nina imani wenye moyo watakusaidia mara baada ya kujiridhisha.
Matatizo hususani dharura kama hizo, huweza kumpata yeyote.
Namba ya mwenye nyumba 0714 293791 mzee bernardSijafunga inbox yangu, wewe tuma namba mimi nitaongea naye, nitampa gurentee ya kulipwa pesa yake, lakini hakikisha maelezo yako ni kweli tupu ili usaidiwe na uache michezo ya kamari.
Hapa JF watu wakiingia kwenye id yako na kufanya screening ya post zako kama ni mpuuzi fulani tu huwezi kusaidia.
Nakuandika haya wewe ni sawa na mtoto wangu wa kumzaa nimeingiwa na huruma ya mzazi hata mimi nisingependa watoto wangu wapitie haya kama umetueleza kweli tupu.
Kama unachotuambia hapa ni kweli tupu utalipiwa hiyo pesa inayotakiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo humu mna Avatar zaidi ya moja, unaanzisha kisha unajipigia debe kwa Avatar nyingine halafu unajidai kumchangia kwa Avatar ya tatu.
Anasumbua[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] ila jf kuna watu wa ajabu mno.Anasumbua
Tumefanya nn tena[emoji23][emoji23] ila jf kuna watu wa ajabu mno.
Utaolewa soon acha ukahabaHabar wa wakuu, heri ya mei mosi.
Mi nimekuja hapa kuomba msaada wenu , ninaashida ya shs 100,000/= , nikiasi cha pesa kilicho pungua kwenye kodi ya chumba nacho kaa, maana leo mwenye nyumba kajakutaka kutoa vitu vyangu , nikamwomba anivumilie mpaka kesho asubuh ili nimtafutie pesa yake
Ni mwanafunz wa chuo cha afya hapa Dodoma, nimejaribu kupambania kupata hela ya kulipa kodi nimepata nusu ya deni ninakiasi cha tshs 150000, bado hiyo laki moja,
Kwa upande wa mzazi kwa sasa siwezi mtegemea maana ameyumba kiuchumi, hata kumwelezea shida zangu naona ni kumwongezea mawazo tu, naomben msaada wenu tafadhali
Natumain hapa JF naweza pata msaada, natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
Kwa chochote kile mawasiliano
0655680282
Huo ndiyo uhalisia mimi wazazi wangu walikuwa na nafasi wakawa wanaishi maisha ya mboga saba nimesoma kwa vibarua hadi chuo kikuu hata mahari ya kuoa nilitoa mwenyewe kwa sasa nawaangalia tu siyo jukumu langu kuwalea wadogo zangu na wao,misaada yangu naelekeza kwa maskini na wanangu,wamesema maneno mabaya dhidi yangu lakini Mungu ananisimamia kwani sina deni nao!!Hutakiwi kumuonea huruma mzazi wako. Maana hili ni jukumu lake kukusomesha na kukulea mpaka pale utakapo jitegemea!
Wewe muongezee tu mawazo ili akili imkae sawa.
Ifikie wakati tuishi maisha kama ya Wazungu. Haya masuala ya kufyatua tu, halafu watoto wanakuja kuteseka na kusumbua watu wengine hayana tija hata kidogo.
Samahani sana mtoto/mdogo wangu [emoji120] kama nitakukwaza kwa haya maneno yangu.