Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Walifika kwa kujipambania ndio maana nimemuambia mleta mada ajipambanie mwenyewe afike kwasababu kama wao waliweza kufika huko hata yeye anaweza.
Kama walijipambania acha kusema wana roho mbaya maana huwadai kitu na hawana obligation ya kukusaidia wewe.