Naomba msaada wa kufika Ulaya

Naomba msaada wa kufika Ulaya

Habari wakuu,

Naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali, passport ninayo.
Endesha baiskeli mpaka Morocco, ukifika Morocco ogelea mpaka Hispania. Hapo hakuna nauli, ni bure tu na nguvu zako basi.
 
Endesha baiskeli mpaka Morocco, ukifika Morocco ogelea mpaka Hispania. Hapo hakuna nauli, ni bure tu na nguvu zako basi.
Hyo njia ni ya hatari kuliko zote libya, Morocco huko kuna watu wana roho mbaya wanafanya biashara ya utumwa ukijichanganya tu unapotea
 
Back
Top Bottom