Naomba msaada wa kufika Ulaya

Naomba msaada wa kufika Ulaya

Akiingia kwenye tovuti au akienda balozi husika ataeleweshwa kila kitu, kama anataka kwenda kwanini iwe tatizo "documents"?

Watanzania tunadanganyana sana.

Ushauri wangu aingie tovuti ya au aende ubalozi husika.
Wewe ndio unadanganya, siyo kwamba tunadanganyana, hakuna viza granted bila supporting documents kwa category zote za viza na hapo ndipo kwenye mtihani kwa Watanzania wengi,

Viza documents requirements for Shenghen countries ni uniform zinafanana, visiting viza kigezo kikuu ni proof of financial, unampa mtu sharti hili ambaye hana hata account bank na hata kama anayo basi cash flow yake haiwezi kukidhi vigezo unadhani bila mipango watu wangekuwa wanasafiri.

Si vizuri kuleta ujuwaji kwa kila kitu, hata Tanzania kuna mataifa wanaitaka viza yetu hawapati inabidi watumie watu, nenda pale uhamiaji uone wanaowambea vibali wageni ni wageni wenyewe au mawakala?

Too much is harmful, kuna vitu vingine kama huvijui ukinyamaza hutopungukiwa na kitu.
 
Kwenda ulaya sio kama unatoka bonyokwa kwenda kariakoo inabidi ujipange kiakili, kifedha hapa angalau shillingi elfu 25-30 per day , nauli ya ndege uko ulaya ukienda kuomba kazi ukishafika kule wanacheki ulikuja kwa usafiri gani maana rekodi zipo mda, saa, na ndege uliyotumia , pia pitia we site za nchi ulizo na uitaji wa kwenda ujue mambo mengine zaidi. Kila la kheri mungu akutangulie
 
WORK AND LIVE IN HUNGARY, SERBIA & AUSTRIA
Min. Salary: 1500 euros
Role: Farm assistants, warehouse assistants, sales men, delivery men, sorters and packers
Tenure: One year (extendable)
Overtime: YES

Charges: 1500 euros
Assistance: 1 yr Work permit, 1yr contract, 1 yr accomodation booking and Visa appointment.
Duration of processing 28-60 days.
Terms of payment: 50% advance by 50% after the work permit is declaired
Utaratibu upoje
 
Toa connection Sasa, tuandae sh ngapi?
Andaa kama 1,800/= usd nauli. 4,500/= usd gharama za muwezeshaji. Na pocket money kwa ajili ya matumizi yako binafsi lazima uwe nayo pembeni. Safari ni next week tu na unalipa hiyo pesa ya muwezeshaji baada ya kila kitu kukamilika.

Note: mimi bajeti hiyo sina ndo maana nimeamua kushirikisha mwenye huo uwezo wa kumudu hicho kiasi ndani ya muda mfupi.
 
Acha Mzaha unaelewa viza arrangement time? Viza inafika mpaka wiki 6 kutoka halafu wewe unamdanganya mtu safari ni next week, tupunguze mizaha.
 
Acha Mzaha unaelewa viza arrangement time? Viza inafika mpaka wiki 6 kutoka halafu wewe unamdanganya mtu safari ni next week, tupunguze mizaha.
Naelewa huwa inachukua muda mrefu ila hadi kuweka hapa ni kwamba nina uhakika kulingana na ushahidi wa waliofanikisha kusafiri na sasa wapo huko south korea, mwanzo pia nilibisha kama wewe. I’m sure kuna watu humu wanauelewa kuhusiana na hili maana ni program maalum.

Hadi kuiweka hapa ni kuwa process yake hulipi hata mia hadi pale mchakato utapokamilika means unaweza ku verify kwanza kisha ndo unalipia gharama yao, hiyo gharama ni kubwa kwangu ndo maana nikaweka hapa mwenye kuiweza.
 
Hujaelewa, huwezi kuprocess safari ya overseas kwa next week, siyo kweli, hakuna program yoyote inayoweza kuingilia utaratibu wa viza application time frame.
 
WORK AND LIVE IN HUNGARY, SERBIA & AUSTRIA
Min. Salary: 1500 euros
Role: Farm assistants, warehouse assistants, sales men, delivery men, sorters and packers
Tenure: One year (extendable)
Overtime: YES

Charges: 1500 euros
Assistance: 1 yr Work permit, 1yr contract, 1 yr accomodation booking and Visa appointment.
Duration of processing 28-60 days.
Terms of payment: 50% advance by 50% after the work permit is declaired
Imekaa kitaalamu sana hii
 
Tafuta ela ukiwa tayari nicheck, hapo viza fee unalipa mwenyewe, travel insurance unalipa mwenyewe na air ticket unalipa mwenyewe, viza ni uhakika hii ni kampuni yenye credibility hakuna utapeli.
Kuanzia kiasi gani cha pesa mtu akiwa nacho anaweza kucheck ukampa ABC?
 
Mkuu fee yake ni hiyo euro 1500 advance ni nusu yake unaletewa job offer contract na working permit na accomodation conformation plus viza appointment assist.
na Embassy approval letter.
Sawa kiongozi kwa uzalendo huu ngoja tuzamw chimbo vijana wamehitimu vyuo no jobs wanataka kuunga masters sasa hiyo ada ya masters si bora tuwapambanie uku wakajue uchungu wa pesa na kwanini tukiombwa tunakuwa wakali
 
Masters Omba scholarship

🌍SholarshipJunctuonX 𝗗𝗮𝘁𝗮𝗯𝗮𝘀𝗲 𝗼𝗳 𝗚𝗹𝗼𝗯𝗮𝗹 𝗦𝗰𝗵𝗼𝗹𝗮𝗿𝘀𝗵𝗶𝗽 𝗢𝗽𝗽𝗼𝗿𝘁𝘂𝗻𝗶𝘁𝗶𝗲𝘀 📚

Looking to study abroad?

Check out this comprehensive database of scholarships available for various countries.

Each offers unique opportunities to advance your education and career.

✨The List of Scholarships Covers the following Countries and Region:
🇺🇸 United States
🇨🇦 Canada
🇦🇺 Australia
🇬🇧 United Kingdom
🇦🇷 Argentina
🇧🇷 Brazil
🇨🇱 Chile
🇲🇽 Mexico
🇪🇺 Europe
🇦🇹 Austria
🇧🇪 Belgium
🇨🇿 Czech Republic
🇫🇷 France
🇬🇷 Greece
🇭🇺 Hungary
🇮🇪 Ireland
🇮🇹 Italy
🇳🇱 Netherlands
🇸🇰 Slovakia
🇪🇸 Spain
🇨🇭 Switzerland
🇨🇳 China
🇭🇰 Hong Kong
🇯🇵 Japan
🇸🇬 Singapore
🇰🇷 South Korea
🇮🇳 India
🇸🇪 Sweden

🎄💪Apply for these open scholarships.
1. York University International Scholarship
Link: York University International Scholarship In Canada 2024 (Funded) - Opportunity Portal

2. McGill University Scholarships Canada
Link: McGill University Scholarships In Canada 2024 (Fully Funded) - Opportunity Portal

3. University of Alberta Scholarships
Link: University of Alberta International Scholarships In Canada 2024 (Funded) - Opportunity Portal

4. University Of Guelph Scholarships
Link: University Of Guelph Scholarships In Canada 2024 (Funded) - Opportunity Portal

5. UFV Excellence Entrance Scholarship
Link: UFV Excellence Entrance Scholarship In Canada (Funded) - Opportunity Portal

6. University of Waterloo Scholarships
Link: University of Waterloo Canada Scholarships 2024 (Funded) - Opportunity Portal

7. Oxford Clarendon Scholarship
Link: University of Oxford Clarendon Scholarship in UK 2024 (Fully Funded) - Opportunity Portal

8. University of Westminster Scholarships
Link: University of Westminster Scholarships In UK (Fully Funded) - Opportunity Portal

9. Boustany Cambridge Scholarship
Link: Boustany Foundation Cambridge Scholarship In UK 2024 (Funded) - Opportunity Portal

10. Cambridge Gate Scholarship
Link: lnkd.in/ddzvQCpH

11. University of Bath Scholarship
Link: lnkd.in/duW6k7nz

12. Oxford Rhodes Scholarship
Link: lnkd.in/d6NqTfm5

13. East-West Center Scholarship
Link: lnkd.in/gh-n5CUC

14. Knight Hennessy Scholarship
Link: lnkd.in/dNDMsV73

15. College Of Wooster Scholarship
Link: lnkd.in/dJF_b23f

16. University of Michigan Scholarships
Link: lnkd.in/gu_PiaaE

17. University of Miami Stamps Scholarship
Link: lnkd.in/dZQ_sKnR

18. Fulbright Foreign Student Scholarship
Link: lnkd.in/gqEbbnqN

19. Deakin University Scholarship
Link: lnkd.in/dUrKBJbe

20. Griffith University Scholarship
Link: lnkd.in/dF_edbjb

21. Murdoch University Scholarships
Link: lnkd.in/dEabPR9G

22. Queensland University Scholarship
Link: lnkd.in/dhQzgFZx

23. Bond University HDR Scholarships
Link: lnkd.in/duGB-KB3

24. Melbourne University Scholarships
Link: lnkd.in/dph4dZ55

25. Radboud University Scholarship
Link: lnkd.in/d9Habe_R

27. Science Po University Scholarship
Link: lnkd.in/d3PTd_zi

28. CERN Technical Student Internship
Link: lnkd.in/dDkiyFve

29. ARES Belgium Government Scholarship
Link: lnkd.in/dEuuRs6g

30. Barcelona Graduate School Scholarship
Link: lnkd.in/dRByQA5g

31. French Government Scholarship
Link: lnkd.in/dABk4fns
 
Hiyo njia ni HATARI sana.
Waarabu hawajawahi kuacha biashara yao ya utumwa.

Waafrika wengi wakiwasili Libya tu wanawindwa na kuteķwa, na wanapelekwa kwenye mnada wa watumwa kuuzwa. Bei yao ni kati ya usd 70 hadi usd 150 kwa kichwa.

Ukinunuliwa unakuwa mali ya mnunuzi hadi kifo, au akiamua anakuuza tena kwa mwingine.

Na kwa taarifa yako kazi ya utumwa haina mshahara, unatumika bure kwa kazi ngumu sana tena kwa kipigo..

View: https://youtu.be/dV7o31P4q4g?si=ZlDcA5NddUNELlkV

Pia ukishatekwa au kuuzwa kama mtumwa, mtekaji au mnunuzi anaweza kufanyia chochote hasa kukunyofoa viungo kama figo, moyo ,macho nk
 
Iko njia haram tunatoka hapa hadi Sudan tunaingia Chad alafu libya baada ya hapo zipo boti za mchongo kutokea Libya tunaitafuta Sicily Italy safari kama ya masaa 24 kwenye maji kama uko tayari nicheki ila hiyo ni njia ya kiume kweli kweli maana kuna sehem itabidi utembee jangwani kwa mguu umbali mrefu gari hazipiti ukitoboa ukiwa hai unatakiwa utoe sadaka kubwa ambayo hujawahi kutoa
Hii ni movie kbxaaah
 
Back
Top Bottom