Walifika kwa kujipambania ndio maana nimemuambia mleta mada ajipambanie mwenyewe afike kwasababu kama wao waliweza kufika huko hata yeye anaweza.
Kuna watu wengi humu wanalalamika kuhusu kutosaidiwa na watanzanzia waliopo nje ndio maana nikasema wana roho mbaya that's why nikamuambia ajipambanie mwenyewe kama walivyojipambania wao. Ukweli utabaki pale pale mtu akikuomba msaada ulio ndani ya uwezo wako na ukashindwa kumsaidia wewe una roho mbaya japo sio lazima kumsaidia mtu.Kama walijipambania acha kusema wana roho mbaya maana huwadai kitu na hawana obligation ya kukusaidia wewe.
Kuna watu wengi humu wanalalamika kuhusu kutosaidiwa na watanzanzia waliopo nje ndio maana nikasema wana roho mbaya that's why nikamuambia ajipambanie mwenyewe kama walivyojipambania wao. Ukweli utabaki pale pale mtu akikuomba msaada ulio ndani ya uwezo wako na ukashindwa kumsaidia wewe una roho mbaya japo sio lazima kumsaidia mtu.
Jitangaze wewe ni shoga halafu sema waislam wanataka kunidhuru. Dakika hio hio utaletewa ndegeHabari wakuu, naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali,passport ninayo
Upo tayari nikuunganishe Urusi.Habari wakuu, naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali,passport ninayo
Kama. Una nauli yako njoo I on nikupe abcdHabari wakuu, naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali,passport ninayo
Sawa mkuu nimekuelewa.Unajikanganya mwenyewe. Mara useme msaada sio lazima hapo hapo unasema usipotoa msaada una roho mbaya, which is which?
Unaposema msaada una maanisha nini? Nauli, gharama au information? Kama ni information zimejaa tele kila Kona labda mtu awe mvivu kutafuta. Gharama ni jukumu lako.
Una uhakika gani kama watu nje wapo kwenye position ya kukupa msaada?
Hii entitlement na uvivu kwamba hadi nisaidiwe ndo nifike mahali fulani huwezi toboa. Kama wao walifika hata wewe unaweza sio lazima usaidiwe. Information zipo kila Kona Kuanzia websites za nchi husika, JF, FB na sites zingine. Msaada ni hisani sio lazima. Ukipewa shukuru ukinyimwa kausha sio malalamiko ya roho mbaya au nini watu wana majukumu yao, kama wewe mwenyewe huwezi kujisaidia jua na wengine wanabanwa hivyo hivyo.
Mwizi tu huyu, wakati working permit za Poland na Hungary zinatoka kwa Euro 1500 tu na viza ni uhakika.Pale sukari house dar kuna jamaa huwa anapeleka watu huko. Ila unalipa USD 2500/= Kabla na mchakato ukikamilika unampa 2500/= tena
Vinginevyo njia uliyotumia hutafanikiwa.
Nafkir anatumia ignorance of his customersMwizi tu huyu, wakati working permit za Poland na Hungary zinatoka kwa Euro 1500 tu na viza ni uhakika.
Unasema kweli mkuuKuna kaz ya kuuza duka uingereza
Hiyo kazi haina tija, akisha uza duka itakulazimu umtafutie kazi nyingine tena kwani atabaki hana duka baada ya kuliuza.Kuna kaz ya kuuza duka uingereza
Haya sasa kazi kwenu halafu mseme Wabongo tuna roho mbaya, labda mtubadilishe jina sasa mtuite matapeli.
Upige usipige KIFUA KIPANA hawezi muangusha mkwe.Subiri kwanza upige kura mwakani
Umenikumbusha movie ya El CaptainoIko njia haram tunatoka hapa hadi Sudan tunaingia Chad alafu libya baada ya hapo zipo boti za mchongo kutokea Libya tunaitafuta Sicily Italy safari kama ya masaa 24 kwenye maji kama uko tayari nicheki ila hiyo ni njia ya kiume kweli kweli maana kuna sehem itabidi utembee jangwani kwa mguu umbali mrefu gari hazipiti ukitoboa ukiwa hai unatakiwa utoe sadaka kubwa ambayo hujawahi kutoa
Mkuu upo serious hizo working permit za Poland zinatoka kwa bei hiyo? Nahitaji.Mwizi tu huyu, wakati working permit za Poland na Hungary zinatoka kwa Euro 1500 tu na viza ni uhakika.
Mkuu nipo tayari, nafanyia wapi hizi process?WORK AND LIVE IN HUNGARY, SERBIA & AUSTRIA
Min. Salary: 1500 euros
Role: Farm assistants, warehouse assistants, sales men, delivery men, sorters and packers
Tenure: One year (extendable)
Overtime: YES
Charges: 1500 euros
Assistance: 1 yr Work permit, 1yr contract, 1 yr accomodation booking and Visa appointment.
Duration of processing 28-60 days.
Terms of payment: 50% advance by 50% after the work permit is declaired