Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Mkuu process nafanyia wapi?WORK AND LIVE IN HUNGARY, SERBIA & AUSTRIA
Min. Salary: 1500 euros
Role: Farm assistants, warehouse assistants, sales men, delivery men, sorters and packers
Tenure: One year (extendable)
Overtime: YES
Charges: 1500 euros
Assistance: 1 yr Work permit, 1yr contract, 1 yr accomodation booking and Visa appointment.
Duration of processing 28-60 days.
Terms of payment: 50% advance by 50% after the work permit is declaired
Mngekua mnatupa connection kama hizi hata usingesikia tukilalamika.Haya sasa kazi kwenu halafu mseme Wabongo tuna roho mbaya, labda mtubadilishe jina sasa mtuite matapeli.
Angalia videos kwenye hii pageHabari wakuu, naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali,passport ninayo
Hii ya Urusi ipoje??Upo tayari nikuunganishe Urusi.
How can someone apply??WORK AND LIVE IN HUNGARY, SERBIA & AUSTRIA
Min. Salary: 1500 euros
Role: Farm assistants, warehouse assistants, sales men, delivery men, sorters and packers
Tenure: One year (extendable)
Overtime: YES
Charges: 1500 euros
Assistance: 1 yr Work permit, 1yr contract, 1 yr accomodation booking and Visa appointment.
Duration of processing 28-60 days.
Terms of payment: 50% advance by 50% after the work permit is declaired
Tafuta ela, ukiwa tayari nicheck nikupe connection.How can someone apply??
Tafuta ela ukiwa tayari nicheck, hapo viza fee unalipa mwenyewe, travel insurance unalipa mwenyewe na air ticket unalipa mwenyewe, viza ni uhakika hii ni kampuni yenye credibility hakuna utapeli.Mkuu process nafanyia wapi?
Unaweza kutowa connection na bado ukaitwa tapeli, ndio maana issue za safari zinakwenda kwa network zake.Mngekua mnatupa connection kama hizi hata usingesikia tukilalamika.
Yeah sure Kila kitu ni hela! Hata Dubai tu hapo kwenda kuosha vyombo nimeona kuna agency inacharge USD dollar 900_1200Tafuta ela, ukiwa tayari nicheck nikupe connection.
Okay 👍Tafuta ela, ukiwa tayari nicheck nikupe connection.
Tupia hii ngoma sijui kaimba nani kama unayo tupia long time sana anakwambi ujawai kuona mtu kalala njaa paris ufaransa....Nje Nje Nje ndani, popote kambi baba weka maskani!....kila la khery.
Gangwe mob...inspekta hatuna & luteni kalamaTupia hii ngoma sijui kaimba nani kama unayo tupia long time sana anakwambi ujawai kuona mtu kalala njaa paris ufaransa
Sawa Kaka limeisha hilo, ahsante.Tafuta ela ukiwa tayari nicheck, hapo viza fee unalipa mwenyewe, travel insurance unalipa mwenyewe na air ticket unalipa mwenyewe, viza ni uhakika hii ni kampuni yenye credibility hakuna utapeli.
Mkuu samahani tutafute kiasi gani ndio tukutafute kwa makadilio.Tafuta ela, ukiwa tayari nicheck nikupe connection.
Ofisini kwa Agency Dar.Mkuu nipo tayari, nafanyia wapi hizi process?
Ukitaka kwenda Ulaya anazia kwenda "ulaya" anzia kenye tovuti yao ufate masharti ya namna ya kuingia utakapo.Habari wakuu, naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali,passport ninayo
Kwa faida ya wote mimi nitamsaidia mtu mwenye uwezo wa kujisaidia mwenyewe, kama unatumia internet ingia mwenyewe kwenye website za airline angalia unataka kusafiri mwezi gani mwakani utapata bei za flight, safari za ulaya travel insurance ni lazima bei ni dollar 30, ingia website ya ubalozi wa nchi unayotaka kwenda angalia viza fee ni bei gani, jumlisha na hizo euro 1500 za kukuombea work permit na mkataba wa kazi utapata hesabu wewe mwenyewe Unatakiwa ujiandae na kiasi gani.Mkuu samahani tutafute kiasi gani ndio tukutafute kwa makadilio.
Punguza kejeri, unafahamu fika tatizo la Watanzania wengi ni kupata supporting documents tu za kuombea viza.Ukitaka kwenda Ulaya anazia kwenda "ulaya" anzia kenye tovuti yao ufate masharti ya namna ya kuingia utakapo.
Hakuna tatizo lolote, kwanini utafute msaada wa mtu na nchi nyingi za "ulaya" zina balozi zake Tanzania?
Moja ya kazi za hizo balozi ni kuwasaidia wanaotaka kuingia nchini kwao.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Akiingia kwenye tovuti au akienda balozi husika ataeleweshwa kila kitu, kama anataka kwenda kwanini iwe tatizo "documents"?Punguza kejeri, unafahamu fika tatizo la Watanzania wengi ni kupata supporting documents tu za kuombea viza.
Mbona wale mabeach boy marasta hawana lolote lakini wanawake wa kizungu wanawarusha ulaya kila siku.
Nchi za ulaya kama raia anakualika yeye, kule kwao kuna declaration form anajaza ya kukudhamini ubalozini kwao unakwenda kuokota viza tu bila shida.
Kwahiyo siyo ustaarabu kitokuwaosha njia ya kweli na sahihi kwa ambao bado wapo gizani.
Wengine tulipata bahati nimeingia Uingereza wakati bado hatujafutiwa free entry, Uingereza tulikwenda kama unavyokwenda Kenya tu ukifika Heathrow unaonesha invitation yako tu unagongewa entry unazama ndani ya London.