DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Feb 15, 2025 #81 Mswahili kukupa code huwa ni ngumu . All the best
Abdu_22 Member Joined Feb 8, 2025 Posts 14 Reaction score 12 Feb 15, 2025 #82 Malaria 2 said: Jitangaze wewe ni shoga halafu sema waislam wanataka kunidhuru. Dakika hio hio utaletewa ndege Click to expand... Hii njia ipo vp...kesho niende msikitini nkatangze
Malaria 2 said: Jitangaze wewe ni shoga halafu sema waislam wanataka kunidhuru. Dakika hio hio utaletewa ndege Click to expand... Hii njia ipo vp...kesho niende msikitini nkatangze
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,074 Reaction score 5,486 Feb 16, 2025 #83 Kilakitu namudawake said: Habari wakuu, Naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali, passport ninayo. Click to expand... Endesha baiskeli mpaka Morocco, ukifika Morocco ogelea mpaka Hispania. Hapo hakuna nauli, ni bure tu na nguvu zako basi.
Kilakitu namudawake said: Habari wakuu, Naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali, passport ninayo. Click to expand... Endesha baiskeli mpaka Morocco, ukifika Morocco ogelea mpaka Hispania. Hapo hakuna nauli, ni bure tu na nguvu zako basi.
Imole JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 1,438 Reaction score 4,053 Feb 16, 2025 #84 mbongo_halisi said: Endesha baiskeli mpaka Morocco, ukifika Morocco ogelea mpaka Hispania. Hapo hakuna nauli, ni bure tu na nguvu zako basi. Click to expand... Hyo njia ni ya hatari kuliko zote libya, Morocco huko kuna watu wana roho mbaya wanafanya biashara ya utumwa ukijichanganya tu unapotea
mbongo_halisi said: Endesha baiskeli mpaka Morocco, ukifika Morocco ogelea mpaka Hispania. Hapo hakuna nauli, ni bure tu na nguvu zako basi. Click to expand... Hyo njia ni ya hatari kuliko zote libya, Morocco huko kuna watu wana roho mbaya wanafanya biashara ya utumwa ukijichanganya tu unapotea
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,074 Reaction score 5,486 Feb 19, 2025 #85 Imole said: Hyo njia ni ya hatari kuliko zote libya, Morocco huko kuna watu wana roho mbaya wanafanya biashara ya utumwa ukijichanganya tu unapotea Click to expand... Na ukiwa Mkristo umekwisha
Imole said: Hyo njia ni ya hatari kuliko zote libya, Morocco huko kuna watu wana roho mbaya wanafanya biashara ya utumwa ukijichanganya tu unapotea Click to expand... Na ukiwa Mkristo umekwisha