Naomba Msaada wa kujua Brand bora ya TV ya kununua kwa sasa

Umemaliza
 
Watu wengine kwakweli hatuoni kabisa hizo tofauti kulingana na matumizi yetu

Nina Samsung nilinunua 2m baada ya wafanyakazi wenzangu kuinunua na kuisifia sana
Nyumba ndogo nina Stat X nilinunua 800k
Tv zote ni nchi 50
Kiukweli kwa mie muangalia tv labda na movie mara moja moja sijaona tofauti yoyote

Hapa ni kula kwa urefu wa kamba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…