Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Kwamba wewe umesomea vitu vya maana?
Na kama umesomea vitu vya maana, usinge fanya kitu kinaitwa Ad Hominem.
...
Badala ya kujikita kwenye mada, utoe ushauri ama msaada, wewe unajikita kwenye Elimu yangu.
Soma tena.
KujitafutaMkuu unataka kwenda kujitafuta au unataka tu kwenda Ulaya?
INbox yako nimeshindwa kuingia natamani hyo namba nijaribu bahat yanguKwa mawazo yako naamini utaenda tu.
Ukinijia private nikupe namba ya mtu kisiri umjaribu uone atakusaidia nini
Nipe huo mchongoSubiri ukue kidogo ufike angalau 40 ndio tukupe nsada wa kwenda ughaibuni kwa sasa endelea kulitumikia taifa lako
Mkuu kuna fursa ya kwenda south korea kufanya kazi hii inaratibiwa na serikali hivyo ni uhakika(unatoka ukiwa umesaini mikataba). Ila sema ina gharama ambapo mm mwenyewe nimeshindwa kuimudu nikaona sio mbaya nikitoa huu mchongo kwa mwingine. Kama utaweza kujigharamia nauli ni kama 1,800/=usd. Gharama za kujikimu ukiwa ugenini angalau 1,000/= usd na gharama za huyo jamaa 4,500/=usd. Ukiwa na uhakika na umejipanga kuondoka next week, nicheki nikuunge nae.Nipe huo mchongo
Kwa haraka haraka uwe na 20,000,000/-Mkuu kuna fursa ya kwenda south korea kufanya kazi hii inaratibiwa na serikali hivyo ni uhakika(unatoka ukiwa umesaini mikataba). Ila sema ina gharama ambapo mm mwenyewe nimeshindwa kuimudu nikaona sio mbaya nikitoa huu mchongo kwa mwingine. Kama utaweza kujigharamia nauli ni kama 1,800/=usd. Gharama za kujikimu ukiwa ugenini angalau 1,000/= usd na gharama za huyo jamaa 4,500/=usd. Ukiwa na uhakika na umejipanga kuondoka next week, nicheki nikuunge nae.
Sahihi kabisa mkuuKwa haraka haraka uwe na 20,000,000/-