Naomba msaada wa kwenda ulaya

Naomba msaada wa kwenda ulaya

Nataka kujenga hoja baada ya wewe kujibu swali langu.
Mbona povu jingi aiseee?
Kwamba wewe umesomea vitu vya maana?

Na kama umesomea vitu vya maana, usinge fanya kitu kinaitwa Ad Hominem.
...
Badala ya kujikita kwenye mada, utoe ushauri ama msaada, wewe unajikita kwenye Elimu yangu.

Soma tena.
 
Nipe huo mchongo
Mkuu kuna fursa ya kwenda south korea kufanya kazi hii inaratibiwa na serikali hivyo ni uhakika(unatoka ukiwa umesaini mikataba). Ila sema ina gharama ambapo mm mwenyewe nimeshindwa kuimudu nikaona sio mbaya nikitoa huu mchongo kwa mwingine. Kama utaweza kujigharamia nauli ni kama 1,800/=usd. Gharama za kujikimu ukiwa ugenini angalau 1,000/= usd na gharama za huyo jamaa 4,500/=usd. Ukiwa na uhakika na umejipanga kuondoka next week, nicheki nikuunge nae.
 
Kwa haraka haraka uwe na 20,000,000/-
 
Back
Top Bottom