Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe ni mtu mwema kwa jamii inayokuzunguka huwezi kosa mdhamini, kuanzia msikitini, kanisani, mjumbe nk. Tofauti na hapo hapa jukwaani si rahisi kupata mtu wa kukudhamini, udhamini kwenye kazi hizi za ulinzi haushii kwenye makaratasi, unaenda mbali zaidi kwamba aliyekudhamini anabaki na dhamana endapo ukikoroga huko kazini. Ukizingatia ukiwa lindoni na ukatokea wizi wewe ndo mtuhumiwa namba moja. Na kwa kuongezea tu ukipata kazi utambue kuwa kila unapokuwa lindoni kuna makosa matatu tayari kinachosubiriwa ni chaji kuandikwa tu, nayo ni Uzembe kwa kushindwa kuzia wizi, ( 2) Wizi wa kuaminiwa (3) Kushawishi na kushiriki wizi.HABARI NDUGU zangu,
Wiki kadhaa zilizopita nilipata wazo kutoka kwa wadau humu humu Jamii Forums kuhusu kufatilia kazi kwny kampun ya GardaWorld security. ASA tayr nimeshafatilia sasa kuna kipengele cha kupata wadhamini wawili wenye vigezo, Vigevyo mabvyo no km ni mfanyabiashara basi awe na Leseni ya biashara na NIDA.
Kama ni mtu ameajiriwa sehem lazima awe na Kitambulisho cha Kazi pamoja na NIDA, na pia kuna form maalum za mdhamini wangu kujaza kule kule ofisin kwa manaake inahitaji niende na mdhamin kule ofisin akajaze form ili wapate uhakika na MTU ambaye wanataka kumuajiri.
Mpka sasa tayari nimeshapata mdhamin mmoja mwenye vigezo vyote Ila BADO MDHAMINI MMOJA hivo naomba Ndugu zangu km kuna mwenye hivyo vigezo nilivyotaja hapo juu naomba anicheki anisaidie mana icho kigezo ndo kinachonisumbua ofisi zao zipo mikocheni Mim nipo Mbagala.
Gharama za usafiri na angalau hela kdg ya shukran nitakupa ili kukupa nguvu yakunisaidia.
Naomba sana. Namba yangu ni 0693206150.
Ninao wajua vzr hawana sifa wapo km mim tu mtafutaji hawana lesen za biashara wala kuajiriwa sehem kwamba wana kitambulisho cha Kazi..hiyo ndio shida
😀😀😀😀😀Kama vyeti vyako haviwezi kukudhamini hiyo sio ajira bali ni mkopo😀😀😀😀😀. Hao wadhamini si bora ukapatie mkopo benk.