Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,814
- 2,738
Habari wakuu,
Nina ndugu yangu ,shughuli zake ni kuuza dawa asilia mtaa wa nyamwezi na mkunguni ,kariakoo. Akiwa kwenye majukumu yake mtaa huo,kuna ghorofa linaendelea na ujenzi, tofali likatoka juu na kumgonga kichwaniMungu mkubwa, CT scan imeonesha fuvu la kichwa halijaathirika. Kamaliza matibabu, mmiliki wa ghorofa anagoma kumfidia.
Naomba mwanasheria anayeanza kwa kujitolea , malipo tukishinda kesi
Tuwasiliane kwa 0713 039 875