Mkuu Dr. Zaga,
Dr. Zaganza , kwanza pole kwa maswahibu hayo.
Kwa mujibu wa sheria zetu za workman compensation act, in case of accident kazini, wanaostahili kulipwa ni workme
n only, wajenzi, mafundi, vibarua na service providers kwenye ujenzi, wakiwemo mama ntilie etc.
Ila pia kwenye kila construction, kuna kipengele cha 3rd liabilities kwa kila ujenzi kuwa protect third parties kwa kuzungushia safety net kwenye kila jengo ili debris zisiwadhuru wapita njia.
Akiweza kuthibitisha kuwa mjezi hakuweka safety net to protect passersby, hivyo he is liable kwa negligence ya ajali yoyote itakayo mjeruhi mtu yeyote aliyejeruhiwa kwa negligence.
Pata mwanasheria mzuri mahiri kukusaidia, kampuni ya PPR Legal, inaweza kumsaidia huyo jamaa kwa kumpa ushauri wa kisheria, legal opinion, how to go about it.
P