Naomba msaada wa ufadhili wa masomo chuoni kwa wenye uwezo binafsi au taasisi

One yes

Member
Joined
Aug 13, 2024
Posts
33
Reaction score
39
Habari wakuu!!

Naomba msaada wa masomo kwa atakae guswa au anae fahamu shirika lolote linalotoa msaada kwa ngazi ya diploma.

Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wana JF kwa wale wote watakao changa michango yao.

Me ni kijana mwenye umri wa miaka 19,niliitimu kidato cha nne mwaka jana 2023 na kupata ufaulu wa division 1 point 17 kwa ufaulu wa madaraja yafuatayo:

Civics-C
History-C
English-C
Geography-B
Kiswahili-B
Physics-C
Chemistry-B
Biology-B
Basic/mathematics-D

Nimeomba diploma ya Radiography campus ya clinical officers training centre kigoma(cotckigoma),nimekidhi vigezo vya NACTE kujiunga na taasisi hiyo.

Naombeni msaada wenu wa hali na mali ata kwa maandishi ili nitimize ndoto zangu.

Wapendwa katika bwana kutoa n moyo si utajiri na MUNGU awabariki wote watakao guswa na hili.

(Ada na michango yote kwa mwaka ni milioni moja na mianne tu 1,000,400)
Mawasiliano 0786886538

 
Umeandika mambo mengi ila hujaeleza ni kwa nini uchangiwe.
 
Omba mkopo HESLB .... Wameanza kutoa mikopo Kwa ngazi ya Diploma tena hiyo Course yako ina kipaumbele
 
Sikulijua ilo na kwa kipind cha mwez wa nane corse yang ilkua bado haijawekwa qenye orodha nmekuja kigundua mwishon kabsa
Hukujua nini? Na kozi Yako ilikuwa haijawekwa kwenye orodha ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…