Naomba msaada wa ufadhili wa masomo chuoni kwa wenye uwezo binafsi au taasisi

Mda wa kuomba si ushapita
Nakushauri... Huu mwaka tafuta michongo ya kufanya... Kisha mwakani
Kwani siku hizi hakuna Fomu za uchaguzi... Mimi nadhani Watu wanaojitambua Huwa washafanya maamuzi kabla hamjafanya mtihani... Kwamba wataenda chuo au Form 5... Hiyo yote ni kuepuka gharama kama hizi kwani ungeenda Technical colleges serikali ingekupa Grant... Lakini pia kwani hukupata shule ya Advance mpaka uamue kuapply chuo??... Kipimo cha kuwa wewe ni msomi ni kuweza kuchanganua Mambo ikiwemo hali ya uchumi wa familia yako... Na uchaguzi wa njia zako za mafanikio ya kielimu... Haihitaji uwe na master's kuweza kujua kama hukuwaza vizuri... Kabla ya kufika hapa ulipofika... Cha kukushauri kwasasa... Subili nafasi za JKT,POLISI AU MAJESHI MENGINE ...Kwa maana hata nikikwambia uende kwenye kampuni za ulinzi wao wanahitaji uwe na umri wa miaka 25 ili wakuajiri kisha ungeweza kuingia kazini usiku mchana uende chuo... Pia jaribu Katika Taasisi kama Mo dewji Foundation maana hata Tamisemi huwezi kupata kwani ufaulu wako ni mdogo... Wao wanataka uwe na 1-7 mpaka 9... Hata Feza Wana scholarship lakini na wao wanataka single digit!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…