Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mbona huwa tunashabikia Yanga pamoja? Au ana hama hama? Nipo naye kwa Yanga yetu kitambo sana.huyo Mshumbusi ni mwanasimba mwenzenu, sema kwakua kaamua kuongea ukweli munampinga,......... sawa, ngojeni ligi ianze mutamuelewa tu.
Ndo utajua jamaa ni kilaza.Laja ni timu ya wapi hiyo mkuu?
😂😂Mida hii mifano itakua mingi sana ligi ikianza milio itabadilikaV
Yanga wenye akili ni wawili tu na wewe haumo.
Vincent Kompany ametoka kuishusha Burnley kutoka EPL kwenda Championship ila Bayern Munich wamemuamini na kumpa awe kocha wao.
Macho ya wenye akili hayawezi kuwa sawa na Wapumbavu.
Hiyo kabila hawajui kutofautisha R na L. Ng'ombe wanaita ngombe 😔Ndivyo Wabongo tulivyo. Unaweza kumuandikia Sms "Vipi unalala?", yeye atakujibu "Ndio narara".
Pamoja na kuwa ni mpenzi wa mpira na kila siku anaona Raja inavyoandikwa kwenye ubao wa matokeo ila ona alichotuletea.
Huyo ni Yanga amekuja na staili kama ya Mchome mapovu,anajivika Usimba ili kuikejeli SimbaMbona huwa tunashabikia Yanga pamoja? Au ana hama hama? Nipo naye kwa Yanga yetu kitambo sana.
Huyo aende akaungane na dada yake Saida Karoli kukata viuno tu.Kwanza ulivyoandika tu "Laja" nikajua wewe ni kilaza tu hakuna chochote unachokijua kuhusiana na mpira.
Sasa wewe nyuma mwiko mambo ya Simba mbona yanakulaza macho?Huyu alikuwa kocha mkuu kwa miaka 6. Sio Arteta aliyeanza kama asistance akapanda.
simba wanajua sifa Zake ndiomaana wanaepuka Cv zake zote hasa akiwa kocha.
Watu wamempiga picha mo kabisa asije wageuka uko kuwa Anatoa ela wanampiga
Uko kwenye heatHuu mtetea mbona unahangaika hivi, unataka kutaga?
Utopolo huyo Simba hakuna zwazwa kama hilo mpira wenyewe hata haujui anatoa mapovu tu kama fala mwenzake Mchome.huyo Mshumbusi ni mwanasimba mwenzenu, sema kwakua kaamua kuongea ukweli munampinga,......... sawa, ngojeni ligi ianze mutamuelewa tu.
Hela anazolipwa wewe umechangia kiasi gani hadi kinyeo kinakuwasha hivyo? Tuondolee upuuzi wako wa utopolo hapa.We sio Shabiki kaka. Simba inachanwa chanwa tu sasaivi
Kwa akili zako kapewa timu kwa sifa kuishusha timu Daraja?
Campany ni kocha chipkizi kaka. Sawa na arteta. Huyu ni kocha kwa miaka kumi na hajafanya lolote kwa muda wote huo.
Leo anakuja baada ya kukosa timu na kuwa asistance wa mtu.
Hakuna muujiza kwenye vitu bayana kaka
Huna akili. Ya Yanga kugeuka dampo la Simba mbona husemi? Fala weweBado MOJA nakusanya taarifa kumuhusu. Kama Shabiki wa Simba sitaki kuaminishwa uongo uongo
Simba inakuhusu nini nenda kale matoke na rubisi huko mshamba mkubwa wewe.NNazidi kufatilia mambo yake. Simba haiwezi kuharibiwa alafu tunakaa kimya
Sijawahi kuwa Yanga na sitakuwa kamwe. Kama azam wakitulia tutahamia uko kwa muda.Mbona huwa tunashabikia Yanga pamoja? Au ana hama hama? Nipo naye kwa Yanga yetu kitambo sana.
Nilisemaga humu timu alipoachiwa Cadena, Nilifanya hadi movment lkn wajinga hawakuelewa. Wakamuacha akawachosha wachezaji ovyo ovyo tukakimbizwa na Asec kinyama. Hakuna kocha happo narudia hatuna kocha hapoUtopolo huyo Simba hakuna zwazwa kama hilo mpira wenyewe hata haujui anatoa mapovu tu kama fala mwenzake Mchome.
Artetq hakuwahi kuwa kocha mkuu na hajawahi ishusha klabu yoyote kabla ya kujiunga the GoonersAcha ujuha wewe.
Arteta katoka kuwa Kocha msaidizi Man City na kwenda Arsenal, sasa cha ajabu nini kwa kocha wa Simba?
Umehama lini Yanga mwenzangu? Umemtumia link hersi aone unavyowaponda SimbaSijawahi kuwa Yanga na sitakuwa kamwe. Kama azam wakitulia tutahamia uko kwa muda.
Maana Simba inavyobomolewa sijui kama watakuwa ata wa tatu msimu ujao.