Naomba msamaha Mgunda kwa kujaribu kufananisha na pandikizi David. ndio kocha mwenye CV mbovu zaidi ligi kuu kwa sasa Hafai ata kuwa kocha wa pamba

Naomba msamaha Mgunda kwa kujaribu kufananisha na pandikizi David. ndio kocha mwenye CV mbovu zaidi ligi kuu kwa sasa Hafai ata kuwa kocha wa pamba

V

Yanga wenye akili ni wawili tu na wewe haumo.

Vincent Kompany ametoka kuishusha Burnley kutoka EPL kwenda Championship ila Bayern Munich wamemuamini na kumpa awe kocha wao.

Macho ya wenye akili hayawezi kuwa sawa na Wapumbavu.
😂😂Mida hii mifano itakua mingi sana ligi ikianza milio itabadilika
 
Ndivyo Wabongo tulivyo. Unaweza kumuandikia Sms "Vipi unalala?", yeye atakujibu "Ndio narara".

Pamoja na kuwa ni mpenzi wa mpira na kila siku anaona Raja inavyoandikwa kwenye ubao wa matokeo ila ona alichotuletea.
Hiyo kabila hawajui kutofautisha R na L. Ng'ombe wanaita ngombe 😔
 
Huyu alikuwa kocha mkuu kwa miaka 6. Sio Arteta aliyeanza kama asistance akapanda.

simba wanajua sifa Zake ndiomaana wanaepuka Cv zake zote hasa akiwa kocha.
Watu wamempiga picha mo kabisa asije wageuka uko kuwa Anatoa ela wanampiga
Sasa wewe nyuma mwiko mambo ya Simba mbona yanakulaza macho?
 
huyo Mshumbusi ni mwanasimba mwenzenu, sema kwakua kaamua kuongea ukweli munampinga,......... sawa, ngojeni ligi ianze mutamuelewa tu.
Utopolo huyo Simba hakuna zwazwa kama hilo mpira wenyewe hata haujui anatoa mapovu tu kama fala mwenzake Mchome.
 
We sio Shabiki kaka. Simba inachanwa chanwa tu sasaivi

Kwa akili zako kapewa timu kwa sifa kuishusha timu Daraja?

Campany ni kocha chipkizi kaka. Sawa na arteta. Huyu ni kocha kwa miaka kumi na hajafanya lolote kwa muda wote huo.

Leo anakuja baada ya kukosa timu na kuwa asistance wa mtu.

Hakuna muujiza kwenye vitu bayana kaka
Hela anazolipwa wewe umechangia kiasi gani hadi kinyeo kinakuwasha hivyo? Tuondolee upuuzi wako wa utopolo hapa.
 
Mbona huwa tunashabikia Yanga pamoja? Au ana hama hama? Nipo naye kwa Yanga yetu kitambo sana.
Sijawahi kuwa Yanga na sitakuwa kamwe. Kama azam wakitulia tutahamia uko kwa muda.

Maana Simba inavyobomolewa sijui kama watakuwa ata wa tatu msimu ujao.
 
Utopolo huyo Simba hakuna zwazwa kama hilo mpira wenyewe hata haujui anatoa mapovu tu kama fala mwenzake Mchome.
Nilisemaga humu timu alipoachiwa Cadena, Nilifanya hadi movment lkn wajinga hawakuelewa. Wakamuacha akawachosha wachezaji ovyo ovyo tukakimbizwa na Asec kinyama. Hakuna kocha happo narudia hatuna kocha hapo
 
Acha ujuha wewe.
Arteta katoka kuwa Kocha msaidizi Man City na kwenda Arsenal, sasa cha ajabu nini kwa kocha wa Simba?
Artetq hakuwahi kuwa kocha mkuu na hajawahi ishusha klabu yoyote kabla ya kujiunga the Gooners
 
Sijawahi kuwa Yanga na sitakuwa kamwe. Kama azam wakitulia tutahamia uko kwa muda.

Maana Simba inavyobomolewa sijui kama watakuwa ata wa tatu msimu ujao.
Umehama lini Yanga mwenzangu? Umemtumia link hersi aone unavyowaponda Simba
 
Back
Top Bottom