Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
Njoo usiku uichujue chumbani kwangu. nakuwekea juu ya meza.Tuma laki kwanza nione kama upo serious
Njoo usiku uichujue chumbani kwangu. nakuwekea juu ya meza.Tuma laki kwanza nione kama upo serious
Apo ntakuwa maitiKama kuna transformer la tanesco jirani hapo likumbatie... utakuwa mchawi tayari
Natamani nikuamini.Ni vyema kama huamini mungu yupo ila usijisahau hii ni dunia na ww ni kamtu kadogo sana mbele ya huyo mungu usieamini kama yupo
Mbona mwingine amesema mchawi lazima awe genius, maana anaizidi sayansiMtu mwenye akili timamu hawezi kuwa mchawi
Natunza hili swali, nikiingia ntawaulizaivi uchawi wa Africa bado haujawai kuAdvance kabisa adi leo, mtu anaununua uchawi pesa ndefu alaf anautumia kuwasumbua watu wawapo wamelala na kuwalimisha mazao ambayo ata akivuna hatuyaoni