Naomba mtu anifanye kuwa mchawi

Naomba mtu anifanye kuwa mchawi

Kama kuna transformer la tanesco jirani hapo likumbatie... utakuwa mchawi tayari
 
ivi uchawi wa Africa bado haujawai kuAdvance kabisa adi leo, mtu anaununua uchawi pesa ndefu alaf anautumia kuwasumbua watu wawapo wamelala na kuwalimisha mazao ambayo ata akivuna hatuyaoni
 
Natunza hili swali, nikiingia ntawauliza
 
Back
Top Bottom