Omba Mungu uache dhambi siyo pombe pekeePombe pombe pombe.
Mm sio mnywaji sana. Ila kuna utumwa wa pombe siupendi. Kila bada ya siku 3 nahitaji bia.
Inakuwa ngumu sana kuimaliza wiki
Wahenga walisema, "Mwanzo wa ngoma ni lele".Sio hizo nakunywa 🍺 bia sio vikali
Kama unakunywa alafu hulewi sioni tatizo.Mkuu sikudanganyi. Sinywi pombe ili nifanye dhambi, napataga kujiburudisha tu. Lakini naona ninaanza kupata uraibu
Kuna kipindi nilikuwa napenda sana ile harufu ya bange mbichi japo sivuti.
🤣🤣🤣Kuna kipindi nilikuwa napenda sana ile harufu ya bange mbichi japo sivuti.