Naomba muongozo namna ya kupata nafasi ya ndugu yangu kujiunga na elimu secondary pale kibaha secondary.

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima

Jibu likaja ni kibaha secondary, huyu kijana anasoma pale olympio primary, sasa kimbembe kimekuja ni namna gani tunaweza kupata nafasi pale.

Kwa yeyote anayefahamu utaratibu wa pale tunaomba atusaidie.
 
Hata mimi natafuta Shule ya serikali inayofundisha masomo ya compyuta na ufundi kama kuna mtu afahamu nipate connection hiyo nitashukuru saba mahali iwe Dar, Tanga au Morogoro.
 
Utakuja kutapeliwa. Acha upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…