Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

Wewe una tatizo la kisaikolojia zaidi na sio tatizo la kimwili....nakushauri achana na dawa tafuta mwanamke utakaemwamini uwe muwazi kwake umuombe akusaidie kuovercome hilo tatizo

Ndio ameshachoka ananikimbia mkuu
 
Pole Mimi si mwanaume Ila utakuwa umeathirika kisaikolojia, acha kuangalia porn, fanya mazoezi, eat balanced diet, relax ondoa mfadhaiko utarudi normal achana na hzo Viagra pia usisahau kusali maana hilo janga linawasumbua wanaume wengi
Hapo kwenye wengi umenishtua... buana shemej... i hope atakuwa sawa... yeah i hope.... sorry 😆 😅 🤣
 
TAKE NOTE:-
To make sure Viagra is safe for you, tell your doctor if you have ever had:

  • heart disease or heart rhythm problems, coronary artery disease;
  • a heart attack, stroke, or congestive heart failure;
  • high or low blood pressure;
  • liver or kidney disease;
  • a blood cell disorder such as sickle cell anemia, multiple myeloma, or leukemia;
  • a bleeding disorder such as hemophilia;
  • a stomach ulcer;
  • retinitis pigmentosa (an inherited condition of the eye);
  • a physical deformity of the penis (such as Peyronie's disease); or
  • if you have been told you should not have sexual intercourse for health reasons.
 
Ndiyo. Mimi naenda sekunde 60 na sirudii tena

mimi nimefikia hatua hio baada ya miaka kadhaa kuhangaika na madawa. mwanzo ilikua ni moja tu tena baada ya hapo maumivu na uchovu si wakawaida kabisa
 
Mtu yeyote anayeshusha manii ndani ya sekunde ulizotaja mtoa mada maana yake una matatizo ya psychology. We huna tatizo la nguvu za kiume.

Na tatizo hilo la kisaikolojia limesababishwa na low libido mpaka imekupeleka kutojiamini.
 
Pole mkuuu sikushauri kutumia viagra coz utakuwa teja . Yaan tegemez cha msingi cheki kama una matatizo mengine ya afya kama presha na kisukari na piga sana tizi hasa running na weight kidogo maji mengi na matunda punguza wanga na ongeza protein
Na akacheki Kama hormone balance iko ok
 
  • Linasimama ila linakua legelege hata uingiaji wake ni watubu kidogo
  • Na ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka, naweza kurudia lakini baada ya muda mrefu kidogo ila nayo ni pia akiingia tu ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka.
Wewe tatizo lako la kisaikolojia zaidi

Huwa tunahesabu.perfomance kuanzia bao la pili

Kuwahi kwa bao Kwanza iko wengi sana
 
Wakuu mitishamba hii, wanauza Kama dawa za asili mfano Kuna vipande vya moto hvi unaambiwa utafune af uteme vinasaidia kweli ?
 
Hapo kwenye wengi umenishtua... buana shemej... i hope atakuwa sawa... yeah i hope.... sorry [emoji38] [emoji28] [emoji1787]
Sio bwana shemegi Mimi marafiki wengi wakiume Wana hii changamoto mkuu
 
Pole sana Mkuu, ila kama bado unafunga magoli ya kidhulumishi (goli la mkono) au kukodolea sana yale mambo yetu acha, baada ya miezi kadhaa utakua kama superman. likewise, icho kiungo kama akifanyishwi mazoezi kwa muda mrefu hukataga tamaa na kususa.
Ahaha we jamaa dah
 
Mtu yeyote anayeshusha manii ndani ya sekunde ulizotaja mtoa mada maana yake una matatizo ya psychology. We huna tatizo la nguvu za kiume.

Na tatizo hilo la kisaikolojia limesababishwa na low libido mpaka imekupeleka kutojiamini.

naomba kueleweshwa hayo mambo uliyoyataja
Low libido na Psychology
 
Polen mkuu naona wengi wameshauri vyema hata kumwona daktari, usisahau mrejesho humu jf kuna wajuzi waweza saidiwa zaidi kama bado wakwama
 
Back
Top Bottom