Naomba muongozo wa namna ya kuJibu hili swali kuhusu private company vs foreign company

Naomba muongozo wa namna ya kuJibu hili swali kuhusu private company vs foreign company

Paschal samwel

New Member
Joined
Dec 5, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Isabela na wenzake 67 wanaushirika kwenye kampuni ya kitalii huko Venezuela. WakiJua kabisa Tanzania invavivutio vingi vya utalii basi wamewiwa kuJa kuwekeza Tanzania kwenye sekta hiyo ya utalii lakin hadi sasa wana machaguo mawili na wasijue nini cha kufanya. Ambayo ni 1.kuanzisha kampuni ya kigeni hapa Tanzania 2.kuJa na kuanziasha kampuni binafsi mpya ya kitalii hapa Tanzania.
a) andaa sababu za msingi kwa ajili ya isabela na wenzake Juu ya machaguo yao ili wachague moJa na waache moja
b) assumption (i.) Ikiwa Isabela na wenzake(sio watanzania) wanahisa 51% na lukumai na mtatiro (watanzania) wanahisa 49% ya kampuni hiyo.
Assumption (ii.) Ikiwa Lukumai na Mtatiro (watanzania) wanahisa 51% na Isabela na wenzake(sio watanzania) wanahisa 49% za kampuni hiyo.
1.kwa assumption ya kwanza itawezekana kwa wao kupata sehemu ya ardhi hapa tanzania na kama ndio kwa sheria ipi na kama La ni kwanini?
2. Kwa assumption ya pili kama itafanikiwa na wanataka kununua sehemu ya ardhi hapa Tanzania, washauri.
 
Back
Top Bottom