Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S

Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S

Mwalimu vipi nasikia ulitoroka Dubai baada ya kuacha KAZI ya ulinzi hapa Tanzania.
Sasa hivi wewe ni dereva Bolt Bodaboda

Kifupi we jamaa una tamaa na roho mbaya sana
Nilikuwa nakutafuta kitambo sana Yani una tamaa alafu una roho mbaya
Nikweli uliyo sema hujakosea hata moja...!
 
Back
Top Bottom