Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,788 Reaction score 113,025 Mar 14, 2026 #21 Lamomy said: Kwahiyo ulitekwa na mshangazi? Mafao yamepona kweli? 😹😹 Click to expand... Garibovu mie, navutwa na kagari kwa 2,000....🤣
Lamomy said: Kwahiyo ulitekwa na mshangazi? Mafao yamepona kweli? 😹😹 Click to expand... Garibovu mie, navutwa na kagari kwa 2,000....🤣
P PERAMIHO YETU JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 6,288 Reaction score 17,333 Mar 15, 2026 #22 Kwann makampun hayo tu? Kama.utahitaj tofaut na hayo nichek
S Swensa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 2,880 Reaction score 4,295 Mar 18, 2026 #23 GemMaster II said: Bongo bahati mbaya una degree na JKT kujitolea lakin kazi za ulinzi nazo vita kuzipata. Click to expand... Mkuu naomba nikuoncheck pm
GemMaster II said: Bongo bahati mbaya una degree na JKT kujitolea lakin kazi za ulinzi nazo vita kuzipata. Click to expand... Mkuu naomba nikuoncheck pm
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,791 Reaction score 15,016 Mar 25, 2026 #24 Mr Beach Boy said: Mwalimu vipi nasikia ulitoroka Dubai baada ya kuacha KAZI ya ulinzi hapa Tanzania. Sasa hivi wewe ni dereva Bolt Bodaboda Kifupi we jamaa una tamaa na roho mbaya sana Nilikuwa nakutafuta kitambo sana Yani una tamaa alafu una roho mbaya Click to expand... Nikweli uliyo sema hujakosea hata moja...!
Mr Beach Boy said: Mwalimu vipi nasikia ulitoroka Dubai baada ya kuacha KAZI ya ulinzi hapa Tanzania. Sasa hivi wewe ni dereva Bolt Bodaboda Kifupi we jamaa una tamaa na roho mbaya sana Nilikuwa nakutafuta kitambo sana Yani una tamaa alafu una roho mbaya Click to expand... Nikweli uliyo sema hujakosea hata moja...!