Naomba Mwenye Picha ya Mbowe na Viongozi wa CHADEMA Wakishiriki Msibani kwa Mama Mzazi wa Halima Mdee

Acha tabia za kishambenga ww utakuja kukatiwa shanga. Msibani sio sehemu za kwenda kutafutia kiki za kisiasa. Kama watu wataenda sio kusaka picha ili waonekane wameenda, bali ni kwa ajili ya kuzika tu. Ccm ndio mnaendekeza hizo siasa za kipuuzi, hivyo mnaona msibani ni sehemu za kwenda kupigia picha ili mjifanye ni watu wema.
 
Um
Bora utaje ndugu zako kwa majina, maana mimi ni Mtanzqnia na si ndugu yako!
 
Muda wa kutoa pole haujaisha! Huenda nao wataenda kama chama kumpa pole! Lakini wakati mwingine Misiba mingi inakuwa na taswira za kisiasa! Tunajuaje kama tayari ana kadi ya CCM bado kutangazwa tu?
Viongozi wa CCM hawakuenda hivi hivi kumpa pole.
 
Hoja yetu ni Katiba Mpya, Muungano na Tume huru sio undugu na maridhishano binafs, Mambo ya misiba na starehe si kipaumbele chetu.
 
Muda wa kutoa pole haujaisha! Huenda nao wataenda kama chama kumpa pole! Lakini vile vile Msiba mingi inakuwa na taswira za kisiasa! Tunajuaje kama tayari ana kadi ya CCM bado kutangazwa tu?
Viongozi wa CCM hawakuenda hivi hivi kumpa pole.
Huyo mbona kitambo tu yuko CCM si umeona viongozi wengi waandamizi wa CCM na Serikali waamekwenda kuhani hapo.
 
Unapenda majungu mpaka mnatisha,kaka Ni dadako mbona unauliza?Muulize mfiwa Sisi hatuwezi majungu
 
Huwa unajitafakari kweli wewe πŸ€”.

Hizi ndo matokeo ya elimu yetu tz.

Ila yawezekana sio kosa lako.
Ila uwe unajitizama kwa tafakuli.

Chadema itakutesa mpaka kufa.
 
Huwa unajitafakari kweli wewe πŸ€”.

Hizi ndo matokeo ya elimu yetu tz.

Ila yawezekana sio kosa lako.
Ila uwe unajitizama kwa tafakuli.

Chadema itakutesa mpaka kufa.
Akishavimbiwa makande na maparachichi anakuja kujambia humu
 
Mbowe na BoniYai
 

Attachments

  • 20240805_152619.jpg
    160.7 KB · Views: 4
Unataka uichongee fremu?
 
Lissu alivyo na roho mbaya, hataenda msibani.

Wakati amelazwa Nairobi alikuwa analalamika watu hawaendi kumuona, yeye hata msibani haendagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…