Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Mimi namuona Halima na mke wake tu.Kabla hatujaenda mbali weka picha ya mume wa Halima Mdee akiwa msibani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi namuona Halima na mke wake tu.Kabla hatujaenda mbali weka picha ya mume wa Halima Mdee akiwa msibani
Acha tabia za kishambenga ww utakuja kukatiwa shanga. Msibani sio sehemu za kwenda kutafutia kiki za kisiasa. Kama watu wataenda sio kusaka picha ili waonekane wameenda, bali ni kwa ajili ya kuzika tu. Ccm ndio mnaendekeza hizo siasa za kipuuzi, hivyo mnaona msibani ni sehemu za kwenda kupigia picha ili mjifanye ni watu wema.Ndugu zangu Watanzania,
Sote tunafahamu kuwa Mbunge wa viti maalum wa CHADEMA Mheshimiwa Halima James Mdee amefiwa na Mama yake Mzazi siku chache zilizopita. ambapo mimi binafsi nampa pole sana Mheshimiwa Mdee kwa msiba huo mzito wa kupoteza Mama yake Mzazi.Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu na moyo wa Subira wakati huu wa majonzi na huzuni.
Najuwa ni Msiba mzito sana tena sana kwa Mheshimiwa Dada Yangu Mh Halima Mdee. Ndio Maana tumeshuhudia viongozi wetu mbalimbali wa serikali yetu ya CCM pamoja na chama chetu pendwa cha CCM kwa unyenyekevu na upendo mkubwa wakifika msibani na kutoa pole kwa wafiwa.
Lakini sijabahatika kuona picha wala video za Mheshimiwa Mbowe akiwa msibani pamoja na viongozi wenzake wa CHADEMA .Nilikuwa nauliza hawajaenda msibani au wapo ila mimi ndio nimepitwa na habari hiyo?
Kama hawajaenda Msibani hususani Mheshimiwa Mbowe na viongozi wengine watakuwa wamefanya jambo baya sana tena sana lisilo la kibinadamu wala kiungwana .litakuwa ni jambo la kitoto sana tena sana kutohudhuria.litakuwa ni jambo litakalo onyesha namna wasivyo na utu,upendo,ukomavu wa kiakili pamoja na kujaa utoto.
Ikumbukwe au nawakumbusha ya kuwa alipofariki Mama Mzazi wa Mheshimiwa Zitto Kabwe , viongozi wengi sana wa CHADEMA hawakuhudhuria msiba ule kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.
Naomba nisiongee mengi. Naomba tu kupatiwa picha au hata video.View attachment 3062148
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
------
Chawa Pro Max Ultra is hereNaomba niwekee picha ya Mbowe akiwa msibani na siyo porojo zako na ujinga wako hapa.
UmNdugu zangu Watanzania,

Bora utaje ndugu zako kwa majina, maana mimi ni Mtanzqnia na si ndugu yako!Ndugu zangu Watanzania,
Sote tunafahamu kuwa Mbunge wa viti maalum wa CHADEMA Mheshimiwa Halima James Mdee amefiwa na Mama yake Mzazi siku chache zilizopita. ambapo mimi binafsi nampa pole sana Mheshimiwa Mdee kwa msiba huo mzito wa kupoteza Mama yake Mzazi.Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu na moyo wa Subira wakati huu wa majonzi na huzuni.
Pia soma > TANZIA - Mama mzazi wa Halima Mdee afariki dunia

Huyo mbona kitambo tu yuko CCM si umeona viongozi wengi waandamizi wa CCM na Serikali waamekwenda kuhani hapo.Muda wa kutoa pole haujaisha! Huenda nao wataenda kama chama kumpa pole! Lakini vile vile Msiba mingi inakuwa na taswira za kisiasa! Tunajuaje kama tayari ana kadi ya CCM bado kutangazwa tu?
Viongozi wa CCM hawakuenda hivi hivi kumpa pole.
😁😁😂🤣😂🤣🤣😂😂Umeshakula?🤔
Akishavimbiwa makande na maparachichi anakuja kujambia humuHuwa unajitafakari kweli wewe 🤔.
Hizi ndo matokeo ya elimu yetu tz.
Ila yawezekana sio kosa lako.
Ila uwe unajitizama kwa tafakuli.
Chadema itakutesa mpaka kufa.
Hivi Luca kapotelea wapi?........ 😀 😀 😀Lucas Mwashambwa huyo.
Luca habari ya siku nyingi?Nimeacha nafasi ili na wewe uweke namba yako ndugu yangu
Unataka uichongee fremu?Ndugu zangu Watanzania,
Sote tunafahamu kuwa Mbunge wa viti maalum wa CHADEMA Mheshimiwa Halima James Mdee amefiwa na Mama yake Mzazi siku chache zilizopita. ambapo mimi binafsi nampa pole sana Mheshimiwa Mdee kwa msiba huo mzito wa kupoteza Mama yake Mzazi.Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu na moyo wa Subira wakati huu wa majonzi na huzuni.
Pia soma > TANZIA - Mama mzazi wa Halima Mdee afariki dunia
Najuwa ni Msiba mzito sana tena sana kwa Mheshimiwa Dada Yangu Mh Halima Mdee. Ndio Maana tumeshuhudia viongozi wetu mbalimbali wa serikali yetu ya CCM pamoja na chama chetu pendwa cha CCM kwa unyenyekevu na upendo mkubwa wakifika msibani na kutoa pole kwa wafiwa.
Lakini sijabahatika kuona picha wala video za Mheshimiwa Mbowe akiwa msibani pamoja na viongozi wenzake wa CHADEMA .Nilikuwa nauliza hawajaenda msibani au wapo ila mimi ndio nimepitwa na habari hiyo?
Kama hawajaenda Msibani hususani Mheshimiwa Mbowe na viongozi wengine watakuwa wamefanya jambo baya sana tena sana lisilo la kibinadamu wala kiungwana .litakuwa ni jambo la kitoto sana tena sana kutohudhuria.litakuwa ni jambo litakalo onyesha namna wasivyo na utu,upendo,ukomavu wa kiakili pamoja na kujaa utoto.
Ikumbukwe au nawakumbusha ya kuwa alipofariki Mama Mzazi wa Mheshimiwa Zitto Kabwe , viongozi wengi sana wa CHADEMA hawakuhudhuria msiba ule kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.
Naomba nisiongee mengi. Naomba tu kupatiwa picha au hata video.View attachment 3062148
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
------
Lissu alivyo na roho mbaya, hataenda msibani.Ndugu zangu Watanzania,