Naomba neno moja tu la Kingereza ambalo halina tafsiri rasmi ya Kiswahili

Mkuu yapo, tena ni mengi tu, mathalani yafuatayo,
1. Achilles heel
2. Mutatis mutandis
3. Ceteris paribus
4. Dsyfunction
5. other technical jargon
6. n.k, n.k

Orodha nzuri. Tuna kazi ya kufanya....
 
Progress Update....

Nashukuru kwa wote waliochangia kwa namna moja au nyingine. Nilichojifunza kutoka kwa wote ni kwamba kuna uhitaji wa forum maalum kwa ajili ya kushirikisha jamii katika kukuza lugha yetu ya Kiswahili.

Kwa maana hiyo, muda si mrefu nitawajulisha wote release ya forum hiyo ambayo itakuwa kwenye mfumo wa mobile app. Mfumo utakuwa specific kwa ajili hiyo tu, yaani kutafsiri misamiati ya Kingereza kwenda Kiswahili.

Tusichoke! Tuendelee..
 
ORIGINAL
 
Frabergasted
 
vipi kuhusu WI-FI
 
vipi kuhusu WI-FI

Update: Sasa maneno yote haya mnaweza kuyaweka kwenye app specific kwa maneno ya Kingereza yasiyokuwa na tafsiri kamili ya Kiswahili ili watu wengi waweze kuchangia kwa urahisi zaidi.

Application inapatikana katika link hapa chini.

Note:
App ni kwa watumiaji wa simu za Android tu.
 
INASIKITISHA WALLAH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…