Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #41
basi lako tofauti .linakuwa kama chupi ila nyuma hakuna kitu ni kamba tu zinapita chini ya kalio.haifuniki kaliohilo la kubinua makalio nimeah liona wifi angu analivaa lina ikanda minene inapiota chini ya kalio nilichoka !
mayb sijajua km linabinua ! langu lipo km chupi lakini imefika had tumbon
hilo la kubinua makalio nimeah liona wifi angu analivaa lina ikanda minene inapiota chini ya kalio nilichoka !
mayb sijajua km linabinua ! langu lipo km chupi lakini imefika had tumbon
yapo ni shiida mjini hapaahhahaa salute ! mie sio km hili !duh had ya hv yapo?? hahaha mie nishabinuliwa na Mungu sihitaj tena !lol
yapo ni shiida mjini hapa
hili kazi yake ukivaa sana linaongeza chura kabisa ,pia linamshape chura vizuri .mimi sipo flati so huwa linamuweka chura mkao flani amaizing sio la kudanganyia watu bnaht wifi linambinuaaa! anakuwa na shape ghafla na ujue ana damu ya uhindi bas ni zaid ya flat huwa namuuliza ukiwa na men wako room inakuwaj akasema huwa anavaa kwa kujificha hajui kitu!teh wanwake raha sana jamn
basi lako tofauti .linakuwa kama chupi ila nyuma hakuna kitu ni kamba tu zinapita chini ya kalio.haifuniki kalio
hili kazi yake ukivaa sana linaongeza chura kabisa ,pia linamshape chura vizuri .mimi sipo flati so huwa linamuweka chura mkao flani amaizing sio la kudanganyia watu bna
hili unatakiwa uwe nalo bna sio ghali sana hata mchina elf 40 tuyeah kuna kalio zingine zimeshuka chini km kitunguu hv !hope inanyanyua !nadhan kwa gaun mbano inafaa ! salute mamy
ahaaaa pm tena jamani?mpe hapa wengi wtasaidika
hili unatakiwa uwe nalo bna sio ghali sana hata mchina elf 40 tu
Ipo kwnye majarbio Sasa wengi wata note bila instructionsmpe hapa wengi wtasaidika
unataka unifanyie majaribio mkuu? tafuta sunguraIpo kwnye majarbio Sasa wengi wata note bila instructions
yaani unakuwa nalo tu la mishemishe ! linakufanya uwe vizuri balaateh teh !mwanamke smart ,... ni bei nzuri tu !
yaani unakuwa nalo tu la mishemishe ! linakufanya uwe vizuri balaa
Sungura nilimfanyia majarbio akakonda kama mende maybe human being I want to start with youunataka unifanyie majaribio mkuu? tafuta sungura