Naomba Nielekezwe namna ya kufika idodi, Iringa kutokea Njombe

Naomba Nielekezwe namna ya kufika idodi, Iringa kutokea Njombe

A teller

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2018
Posts
531
Reaction score
724
Wasalaam

Naomba kuelekezwa namna ya Kufika Idodi, Iringa nikiwa natokea Njombe kwa usafiri wa basi.

Nipo mapumzikoni Njombe Nimekaa iddle na ningetamani kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi
Ahsante.
 
Shuka iringa mjini panda basi unapita kalenga,nzihi,kidamali,itafika idodi,idodi ipo mpakani kabisa mwa hifadhi ya Ruhaa national park
Ahsante mkuu, nauli inaweza kuwa sh ngapi
 
Ukifika Iringa Mjini nenda moja kwa moja stand ya mabasi ya Mlandege pale utapata usafiri wa kwenda mpaka Idodi kupitia Kalenga, Mangalali, Nzihi, Kidamali, Nyamuhuu n.k.
Ahsante mkuu, ni masaa mangapi hadi idodi kutokea iringa mjini
 
Hizo basi wanapanda hadi kondoo na kuku za wamasai..
Njoo inbox nikuwahishe na Chuma...
BM 150...
Utanipa laki moja tu...na utalala ntakusubiri
 
Wasalaam

Naomba kuelekezwa namna ya Kufika Idodi, Iringa nikiwa natokea Njombe kwa usafiri wa basi.

Nipo mapumzikoni Njombe Nimekaa iddle na ningetamani kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi
Ahsante.
Pole Kwa Msiba Sana Nakushauri Fika Ofisi Yoyote Ya CCM Utasafirishwa Bure Jambo Hilo La Msiba Sasa Ni Kama Wakati Wa Campaign Tutatumia Fuso Nyingi Sana Kusomba Watu
 
Back
Top Bottom