Naomba Nijuzwe kama ni kweli kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi

Hapana wapo wengi wanahamia
Mpaka sasa nimekutana nao kumi tofauti jana wanne mama na mabinti wa tatu. Pale Palm Village
 
unaongea kweli wapo weng sana. sio amerika tu kutoka ulaya pia.
 
Yule balozi wa marekani anaenjoy sana,anafika mpaka uswazi huko,siku ya kuondoka yule anaweza kulia 😀
 
Jamaa katembea nchi nyingi sana afrika,ila alipofika bongo kaamua kukita kabisa,na anawaleta wenzake kwa makundi
Huyo ndio amefika hivyo, kanunua mpka nyumba huko huko Zenji. Nafikiri ndio jamaa mwenye content nzuri huko youtube ukilinganisha na wengine.
 
Huyo ndio amefika hivyo, kanunua mpka nyumba huko huko Zenji. Nafikiri ndio jamaa mwenye content nzuri huko youtube ukilinganisha na wengine.
Kuna dada zao wanaolewa pia,hasa vijana wa chuga wanawahifadhi sana
 
Wawe washauri tu ila wasipewe uongozi wowote
Nalog off
 
Pengine ziara ya Obama iliwafungua macho.
 
Uhamiaji wanalifahamu hili? Je, hivi ndivyo sheria zetu za uhamiaji zinavyosema? Nitakuwa Wa mwisho kuamini haya.
 
Hao wamekuja kutalii tu, baada ya miaka 2 au 3 wanarudi kwao. Maisha ya bongo tofauti sana na kwao, ni wachache watakaoweza kuhimili. Afterall kwa kipi hasa walichokosa kwao?
 
Ndio wapo kibao sana tu hasa maeneo ya Kigamboni na Mikocheni, mi najua Wamarekani wengi weusi wanahamia Afrika kwa hiari yao na mapenzi ya kuipenda Africa. Wapo wengi Zaidi Ghana na Ethiopia nasikia. Kwa East Africa ni Tanznia na Kenya
 
Hao wamekuja kutalii tu, baada ya miaka 2 au 3 wanarudi kwao. Maisha ya bongo tofauti sana na kwao, ni wachache watakaoweza kuhimili. Afterall kwa kipi hasa walichokosa kwao?
wana enjoy sana tu mkuu, ingia youtube uonewanavyo hamasisha wenzao waje kuishi Tanznia au Africa. Wanasema maisha ni raisi mno bei za vyakula na kodi za nyumba ni cheap sana kulinganisha na hook kwao.
 
Ulalamishi unasaidia kutoka kwenye umasikini. Wewe uko hapa bongo hulalamiki lakini upo kwenye tatizo moja miaka nenda rudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…